mifuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Star onair

    Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm. Dear HR kama unabarua nyingi ofisini kwako ni pm. Msizichome moto tufanye biashara. Hata ofisi yoyote ambayo mmepokea application letter...
  2. A

    Urasimu uliopo katika mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Baada ya kutungwa kwa sheria ya mabadikiko katika mifuko ya hifadhi ya kijamii na Kubaki PSSSF na NSSF kumekuwa hakuna ushindani kabisa. Especially kwa Wazee wanapostaafu hupata shida sana kupata mafao yao kwa wakati muafaka. Pia kwa wale ambao hawajatimiza muda wa kustaafu wamekuwa...
  3. Chendembe

    Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
  4. uchumi2018

    Pongezi kwenu Mdee na Bulaya kwa kuzungumzia mifuko ya Hifadhi ya Jamii Bungeni

    Habari zenu wadau. Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni kutetea wastaafu ambao ndio wachangiaji na wanufaika wa mifuko hii. Ni mara nyingi tumesikia wabunge...
  5. J

    Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
  6. hazard Don

    Mifuko yenye Nembo ya Kuhifadhia mikate inahitajika

    Habari wakuu, Katika harakati za kutafuta maisha nimeamua kufanya biashara ya kupika na kuuza mikate. Kama mnavofahamu Mifuko imepigwa marufuku ,hivyo ili kufunga mikate inatakiwa ile Mifuko iliyopigwa Nembo ya muuzaji ya kuuza Mkate. Nimejaribu kumuuliza Jamaa yangu yupo Dar es salaam...
Back
Top Bottom