madudu

Esther Madudu (Born in 1980) is a Ugandan midwife. Madudu has had nearly 15 years of experience first at a maternity home in Kumi District, and now working at Tiriri Health Center IV in Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kwa ‘madudu’ haya kwenye ripoti ya CAG, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa achia ngazi

    Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja. Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima...
  2. BAK

    CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), imeeleza ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG). Badala yake ripoti hiyo ya mwaka wa fedha...
  3. Mshana Jr

    Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
Back
Top Bottom