Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time.
Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM?
Tunaelewa...
Kuna habari zinazosemekana kuwa mzee Makamba na Abdulrahman Kinana (makatibu wakuu wa zamani CCM) wanaweza kuhojiwa na kamati ya maadili CCM leo hii jumatatu ya tarehe 10 February, 2020.
Hii ni baada ya wazee hao wakongwe wa chama hicho kuwachomesha mahindi wajumbe wa kamati ya maadili kwa siku...
Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM
Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments
MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa chama hicho.
Habari zilizoifikia SAUTI KUBWA zinasema Kinana na Makamba walijiondoa rasmi...
Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Kinana ameona ni kama kudharauliwa kwa kuitwa kuhojiwa mambo ambayo kimsingi ni malalamiko...
Nimeangalia sana mwenendo wa CCM ya leo na viongozi ambao wana historia nzito sana katika CCM na Tanzania kwa ujumla, na kufikia muafaka kwamba safari ya CCM kwenda huko wanakojua wenyewe mwisho wake sio mzuri.
Tangu uongozi wa CCM ya sasa uingie madarakani umekorofishana na karibu viongozi...
Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika...
Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo.
Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa kwa Makatibu wakuu wastaafu Kinana na Makamba pamoja na Waziri wa Zamani Ndugu Bernard Membe...
Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa kumshawishi, mmoja wa wanasiasa makini na wakongwe, mtumishi wa umma wa muda mrefu, mwanadiplomasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.