jamiicheck

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    KERO Serikali ifuatilie Chuo cha maendeleo ya wananchi Same (FDC) hakitoi vyeti kwa wakati

    Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo wanalalamika kukosa vyeti mpaka sasa na hawaoni ufatiliaji wowote ule kutoka kwa uongozi wa chuo hicho.
  2. JamiiCheck

    Jambo gani la kijamii umekuwa ukilisikia, bila kupata majibu JamiiCheck ilifanyie uhakiki?

    Jukwaa la Jamiicheck lipo mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki wa taarifa ili kujua kama ni kweli, uzushi au nadharia. Hukuwezesha raia kufanya uhakiki kwa kuweka maudhui ndani ya jukwaa yanayotakiwa kuhakikiwa na kutoa mchango wa kuhakiki taarifa hizo kwa kile wanachokifahamu. Je, ungependa...
  3. JamiiCheck

    Link zisizo sahihi zinaweza kutumiwa na Waandishi katika kupotosha Taarifa

    Link zinazowekwa kwenye taarifa zinaweza kutumika kwa njia kadhaa kuchangia upotoshaji wa taarifa kwa kuwaunganisha wasomaji kwenye tovuti zisizoaminika au zinazojulikana ili kutangaza habari za uwongo. Hii inaweza kuongeza uaminifu wa habari hiyo kwa watu wasiojua ukweli. Mathalani, 'links'...
  4. JamiiCheck

    Hatua za kuchukua unapohisi Taarifa ni Potofu

    Baada ya kukutana na taarifa yoyote unayoitilia shaka, kuna hatua kadhaa unaweza kuchukua ili kujiridhisha uhalali wa taarifa hiyo. Kuchukua hatua za haraka na kutoa habari sahihi ni muhimu ili kuzuia kuenea kwa habari feki au gushi. Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua unapokutana na taarifa au...
  5. JamiiCheck

    Karibu JamiiCheck ufanye uhakiki wa Taarifa mbalimbali zinazopatikana ndani na nje ya Mtandao

    JamiiCheck ni Moja kati ya Majukwaa yanayopatikana ndani ya tovuti ya JamiiForums.com. Jukwaa hili limewekwa mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki, kutafuta uthibitisho au uhalisia wa habari, taarifa, matukio, picha au video mbalimbali zinazojitokeza au kuibuka kutoka katika vyanzo mbalimbali...
  6. Heparin

    UZUSHI Tanzania ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia, Musenge Mukuma kutokana na kuwa na Jina lenye Tafsiri Mbaya kwenye lugha ya Kiswahili

    Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa kuwa Jina lake linatoa tafsiri Mbaya Katika Lugha ya Kiswahili. Andiko la aina hii liliwahi pia...
Back
Top Bottom