fomu urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    "Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
  2. ChoiceVariable

    Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi. Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais. Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM...
  3. R

    Kutaka ichapishwe Fomu Moja 2025 kwa Mgombea wa CCM, Demokrasia imezingatiwa?

    Salaam, Shalom!! Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100. Kwa kuwa...
  4. ChoiceVariable

    Majaliwa & Kinana: Washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025.

    Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili. https://www.instagram.com/p/C1mxNWoAY4d/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg== My Take Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
  5. Mganguzi

    Mimi sio kichaa! Kama CCM watatoa fomu moja ya urais 2025 na wakampa mmoja tu - Nitakwenda mahakamani!

    Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025! Na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! Na wakampa mmoja tu! Basi kwa mara ya kwanza nitakwenda kudai haki yangu ya kikatiba mahakamani, taratibu za chama...
Back
Top Bottom