Mamlaka ya afya ya Afrika Kusini ilisema Ijumaa kamba takriban dozi 100,000 za chanjo ya Pfizer ya COVID-19 ziko katika hatari ya kuharibiwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na watu kutojitokeza kwa haraka kupokea chanjo.
Afrika Kusini imerekodi idadi kubwa ya maambukizi na vifo vya...
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.
CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo ni salama zaidi kuliko J&J.
Sababu kubwa ya kupendekeza hivyo ni kwamba J&J inasababisha matatizo ya...
Serikali ya Tanzania leo imepokea dozi 499,590 za chanjo ya ugonjwa wa Uviko-19 aina ya Pfizer kutoka serikali ya Marekani ikiwa ni msaada wa mpango wa Covax.
Chanjo hizo zimepokewa wakati tayari baadhi ya Watanzania wamepata chanjo ya Johnson &Johnson na Sinopharm.
Chanjo hizo zimepokewa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.