Search results

  1. Asprin

    Vita ya Vinywaji...

    Salamuni... Tukielekea kwenye maandalizi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka... ambazo wale wenzangu na mimi tunaolipa kodi kupitia manywaji zinatuhusu... hebu sogeeni hapa tuwekane sawa kidogo.... Maana tumechoka kila siku tunasoma Dsm Vs Nairobi, Clouds Vs EFM, Wanaume wa Dar Vs wa Mikoani...
  2. Asprin

    Happy Birthday Babu ODM

    Yes... It is my birthday... Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana... Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu... Ahsante Mungu .... Ahsante na kwa ndugu jamaa, wajukuu na marafiki kwa kuwa nami hadi hivi leo... CC: Wife Sky...
  3. Asprin

    Eti, nikalale wapi?

    Yaani ndio kama hivi, maana hata sielewielewi. Saa mbili kamili usiku: Bibi yenu: We mzee msosi tayari, nikutengenezee kachumbari? Mimi: Tena weka pilipili ya kutosha mama, nina apetaiti ya watu wanne. Bibi yenu: Haya baba, ole wako nishike mipilipili afu usile. Mimi: Mama bhana.... umeanza...
  4. Asprin

    Akaniambia sikufungulii...Na kweli hakufungua

    Wapendwa na wajukuu zangu....... nyie acheni tu, Huyu bibi yenu jana si akanitenda. Mwenyewe nikakoma na ulabu wangu kumkichwa. Juzi Jumamosi nlichelewa kurudi home baada ya kutandika mtungi wa kutosha. Bibi yenu akanambia nimechoka, ukichelewa kurudi tena, sitakufungulia mlango. Nikajua...
  5. Asprin

    Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

    Kudadadadeki! Tumetoka mbali mangi tangu enzi zileeeeeee.... unaogeshwa live.... Mpaka yaani shheenzy zakoooo ukapitia matatizo makubwa sana.... dingi yako alikuwa mmmbaayyyaaaa!! Nakumbuka ukaniahidi utakuwa kamanda Kwamba huogopi kitu wala nini.... Tatizo lako hommie unasahau...
  6. Asprin

    Ombi/Msamaha kwa kupiga magoti....Imekaaje hii???

    Naamini jamboni iko. Swaumu ya Kwaresma si mchezo. Unajua bana mimi babu yenu jana kwa bahati mbaya sana nikajikuta badala ya kugida mtungi na walipa kodi wenzangu nikawa naangalia Sinema na kafamilia kangu (furaha ilioje kwao na kwa malaika mbinguni). Shem AshaDii asisome hapa. Ilikuwa sinema...
  7. Asprin

    Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

    Marahabaaa...... Nimesubiri weeee nione nani atajipendekeza lakini hola! Imekula kwangu mazima. Anyway nimetoka mbali wakulu Katoto katundu.... Kijana mtukutu, mbunifu, mkaguzi na asiyependa kupitwa na jambo... Kijana rijali mwenye mhemko wa kibaiolojia, mabinti hawakukatiza...
  8. Asprin

    2013 Babu ODM kubadilika.....Niungeni Mkono.

    Wajukuu na wapendwa wangu, Napenda kuwafahamisheni rasmi kuwa mie babu yenu ODM nimeamua kubadilika mwaka ujao (Umri ushaenda huu mambo ya ujana niwaachie vijana.) Hivyo basi ile biashara ya kuwakagua wajukuu ntaipunguza saaaaana. (kuiacha itakuwa dhambi). Kuanzia mwakani, yaani kesho...
  9. Asprin

    Hivi ni kwanini mwanaume mwenye makalio makubwa hupendwa

    Uzuri wenye makalio makubwa si wachoyo kiviiiile wa kutoa zawadi ya 0713. Ukitumia KY inatelezea kiulaiiiiini. Na uzuri wake hayatoi ile miharufu ya WC. (usiniulize nimejuaje, mi nliambiwa tu)
  10. Asprin

    Heri ya NOELI na Mwaka Mpya 2013 toka kwa babu ODM

    Ndugu wajumbe na wadau wa jukwaa hili maalum la watu wasio na msongo wa mawazo, Ninawaandikieni waraka huu kuwatakienyi nyote NOELI njema na heri ya mwaka mpya 2013. Nawaombeni safari hii tupeane heri na baraka kwa kutumia lugha yetu adhimu ya kiswahili bila kutohoa maneno kwenye lugha nyingine...
  11. Asprin

    Wajinsia ya KIKENI: KAMATA MAUJUMBE MUHIMU toka kwa ODM.......

    Waungwana wabarikiwa na wadau. marahabaaaaaaa wajukuu zangu! Sijapokea shikamooni zenu asee, nimezimisi mbaya.... Well: Hii ni kwa wale wanaokubali UKWELI ambao uko DHAHIRI kuwa INFIDELITY IS INEVITABLE. (Kwa wale wanafiki wanaojificha kwa sura ya kondoo ilhali wao ni mafisi...AM Soooooo...
  12. Asprin

    .......Happy Birthday cacico......!

    Yes it is your birthday..... Sala zetu zimesikilizwa. Hatimaye siku imewadia. Tunamshukuru Mungu. Tunakuombea maisha marefu, upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana. Wakati tukikuombea maisha marefu, tunakukaribisha kwenye tafrija ndogo ya kukupongeza. Mwongozo...
  13. Asprin

    ...... cacico.... Come this way baby....!!

    Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi..... Kaja mama mmoja tumbo hiloooo..... Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike... Nimemsogelea mama huyu na kumuuliza huyo binti akijifungua atamwita nani? Kanambia atamwita cacico...
  14. Asprin

    Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

    Ndo nshaamua hivyo.... Leo si jumamosi? Liwalo na liwe, mwezi uandame au usiandame mie kurudi kwa mkoloni wangu ni mpaka Jumatanoooo.... Nimechoka kukaa huku kwenye lokesheni yangu ....si mwaijua eh?... Nikaunganike na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho...
  15. Asprin

    Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

    Wakulu salama....?? Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo. Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni BAGAH na mwingine ni Erickb52 Kisichana kilichotinga blue ndo Mamndenyi wakati cha kulia kabisa ndio...
  16. Asprin

    NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

    Wakulu wasalaam, kama mnavyojua kesho ni sikukuu yetu wakulima. Nyie wafanyakazi kesho eti mtapumzika wakati sie tutaenda shambani kulima kama kawaida......... Very unfair. Kama mjuavyo vijana wengi hamjishughulishi kwa kilimo. Sie wazee tunaoshika jembe tumeamua kesho tuungane na nyie...
  17. Asprin

    Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

    Yaani nna hasira mbaya mpaka nimesahau kuwasalimuni.... kuna mtu natamani nimrestishe in Piis..... Lakini kuna ushauri nimepewa na washkaji zangu kuwa leo nitoke na mmoja kati ya mawaifu zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA. Hawa warembo wote nawapenda lakini nimeshauriwa nitoke na mmoja wao...
  18. Asprin

    BREAKING NEWS.....Vunja Jungu Kwa ODM!

    Maadam nimehakikishiwa na mtumishi wa Mungu huyu na nabii aliyebarikiwa, Kuwa ulabu siyo tu ni mzuri kwa afya ya binadamu, bali pia ni kadawa magonjwa mengi (sijui na ka Ukimwi?) Source? Na kwakuwa leo yanipasa nivunje jungu kabla sijamrudia Mola anisamehe zambi zangu zote na za wajukuu...
  19. Asprin

    Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

    Ngoja mpendwa gfsonwin nikukabidhi shukrani kwa mistari....... Khaa! Ulinitibuje? Tiba ulonipatia, gfsonwin sikia, Imenishika sawia, Maradhi yameishia, Niko gado nakwambia, vitu naweza shushia, Nimepona Asprin, Njooni niwakague. Nimepona nawambia, Yummy cacico sikia, Mshedede kama gia, uko...
  20. Asprin

    Ijumaa Yangu..... Jiunge Nami!!

    Wakulu, wajukuu na vijana wangu. Huyu mkoloni wangu kajipendekeza kuingiza mshahara mapema mwezi huu. Ntautandikaje weekend hii? Nawakaribisheni nyote hasa wale wapenzi wa ulabu. Bila kujali chochote Tukajinafasi. Tupige ulabu mpaka kieleweke.... Mabinti nawatahadharisha msije mkazidiwa...
Back
Top Bottom