Search results

  1. Active

    NADHARIA Vyakula vya mbegu vya GMO vipo kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi

    Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi. Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
  2. Active

    Kiungo bora duniani anapolambishwa udongo na kijana wa miaka 18

    Jana mechi kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea, kiungo bora kabisa Kante amelambishwa udongo na kijana mdogo sana, kosa hilo la Kante liliigharimu timu yake.
  3. Active

    Mvua kubwa, upepo mkali, mawimbi baharini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwamba kuanzia kesho kutakua na mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi kwa maeneo ya pwani. Mikoa inayotajwa kuwa na uwezekano wa kuwa na mvua kuzidi milimita 50 katika saa 24 ni 'baadhi' ya maeneo ya mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Njombe...
Back
Top Bottom