Search results

  1. D

    Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Hapo tu Bado penzi ni jipya demu anapewa godoro used, likifika katikati Karibu na jioni itakuwaje?
  2. D

    CHEMSHA BONGO: Mwanamke ni yupi hapa?

    Kati ya hawa watatu, wanaume ni wawili na Mwanamke Mmoja. Je, mwanamke ni yupi na kwanini?
  3. D

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Tafuta mazingira tulivu na rafiki anayoyapenda MCHANE LAIVU HAPO HAPO. Muambie una haki ya kukasirika maana "Mchuma janga hula na wa kwao". Vinginevyo subiri ya Penina.
  4. D

    Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

    Ulishasoma mahali kwenye msahafu wowote kuhusu kiumbe Cha jinsia ya kike Mbinguni? Mfano, umewahi kusoma popote kuwa Kuna malaika wa Kike? YESU ni wa Mbinguni na sio wa Duniani. Duniani ndio kuna kuoa na kuolewa. Huwezi elewa hili ukitafakari kwa akili za makobazi.
  5. D

    Moshi: Mke Amuua Mume Wake Kisa Amemkuta Kwa "X"

    Huyu mama akawekwe pamoja na ngosha wa Penina
  6. D

    Siyo vibaya Makonda akaomba radhi Ili maisha yaendelee, bado anahitajika kwenye Uongozi!

    Makonda Hana tofauti na  abasijda wa kwenye Quran! He is a beautiful dracula.
  7. D

    Simba ndio basi tena?

    Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka! Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita. Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii...
  8. D

    Hongera Yanga na Hongera Eng. Hersi Ila leo umezingua

    Picha Iko wapi?
  9. D

    Manchester United mabingwa Kombe la FA 2024 baada ya kuifunga Man City 2-1

    Man city wapuuzi sana. Wamewatia watu hasara sana Leo!
  10. D

    Dkt Ananilea Nkya: Nafasi za ubunge wa Viti Maalum zifutwe kwa sababu zimeanza kutumika isivyostahili. Zilianzishwa ziwe za Mpito sio za kudumu

    Ukweli hivi viti maalum ni mzigo kwa uchumi wa Taifa. Kwa kiingereza tunasema: She is very right.
  11. D

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Kwani uvmchangiaji umeisha? Mbona una washwa sana mleta mada?!
  12. D

    Wanasiasa wenye vyeo serikalini wanalipwa mishahara mingapi?

    Ulishawahi kusikia "kushikilia mshahara wa Waziri" bungeni?
  13. D

    Wanasiasa wenye vyeo serikalini wanalipwa mishahara mingapi?

    Waziri analipwa posho mbalimbali ambazo ukizijimlisha ni karibia double ya mshahara wa ubunge.
  14. D

    Hivi kila shabiki wa Yanga akachanga Tsh. 1,000 tu, timu haipati Tsh. Bilioni 1 na ushee?

    Yanga yenye kauli mbiu ya Daima mbele, Kurudi nyuma mwiko, Why tushindwe kuichangia Klabu yetu isajili wachezaji bora?
  15. D

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    1673 ni wiki, Je ikifika mwezi itakuwaje? Unawajua na wasiopenda kuonekana hadharani wako wangapi na wamechanga ngapi? Lakini kama Mtu ananitaka mchango na siko katika Hali nzuri kiuchumi na sijamchangia so far, ndio simpendi?
  16. D

    Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Daah, niliwahi kumgongea Mzee mmoja Mke wake aisee (alikuwa na kabinti kadogo), Huyu mzee alikuwaga hatokitoki ndani kwa matatizo ya miguu na pressure but that time alipata nguvu za kuzunguka mji mzima akinitafuta! Angenipata sijui ingekuwa Je!!🤔
  17. D

    Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Ngoja tumtafite Tobias Kifaru atupashe zaidi
  18. D

    Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

    Hizo ni kanuni kwa ajili ya mafukara. After all uislam ni Mfumo tu maisha.
  19. D

    Nilichokiona leo na mbio za mfungaji bora

    Mkuu wewe ni Ahmed Ally? Au una undugu naye?
Back
Top Bottom