Tangu juzi nimekuwa nikituma hela kwenda kwa wadau wangu kutokea mpesa na tigo pesa kwenda airtel money. Cha ajabu hela upande wangu imekatwa, lskini huko iendako kupitia airtel money hela haifiki. Ukiuliza ubaambiwa usubiri saa 24 zipite. Airtel monet mnawazingua wateja wenu.
During the 1980s and 1990s, the acronym ATC standing for Any Time Cancellation was coined to reflect what was actually happening on the ground in terms of the operationalization of the national airline, Air Tanzania Corporation. It was marred by frequent travel cancellations.
Lately, these...
Natoa rai kwa mamlaka husika (Wizara ya utamaduni na michezo, Baraza la ssna ka taifa, TCRA etc) kufuatilia kwa umakini maudhui ya Kitimtim comedy inayoneshwa kwenye chanel 160 DSTV/Multichoice.
Wameanza kuongelea mambo ya kufanya ngono kwa uwazi hadi inatia aibu mzazi kuangalia skiwa na watoto...
Naomba kuelimishwa. Je, misingi na taratibu za utumishi wa umma zinamruhusu kiongozi kulazimisha watumishi walio chini yake (wizara, idara, kitengo, wakala, taasisi) waende kufanyia semina, makongamano au warsha katika wilaya anayotoka. Na hususani wakati wakiwa huko wilayani kwake kuelekeza...
Nawasilisha kilio cha wateja wa taxi tunaotumia madreva waliosajiriwa na TAXIFY/BOLT Tanzania. Madreva wenu wanatuibia sana kwa kuchezea platform aka kuchezesha dish. Musiporekebisha si ajabu abiria wenu wakahamia kwa wengine, mfano Ubber. Msipofanya hivyo mutachakaa sana!!!
Sent using Jamii...
Katika mihangaiko yangu katika nchi mbalimbali na hapa nchini, nimeona kwa wenzetu walioendelea magari barabarani yanaongozwa na taa (traffic lights, robots) na hawana roundabout nyingi ila wana interchanges na flyovers nyingi. Hapa nchini kwetu tuna taa za barabarani, traffic police na round...
Wanajamvi!! Kwa muda mrefu sana kumekuwa na foleni kubwa ya magari barabara ya Mwai Kibaki wakati wa asubuhi saa 12 hadi sa 2 kwa watu wanakwenda Mbezi Beach kupitia daraja la Mlalakuwa JKT kupitia round about ya Kawe. Hali hujirudia tena jioni saa 10 jioni hadi 2 usiku kwa watu wanatoka Mbezi...
Kenya Airways has marked a great milestone with the launch of a non-stop flight from Nairobi to New York. The national carrier starts selling today tickets for the inaugural flight which is scheduled for today 28 October 2018. Kenya Airways becomes the first African airline to offer a non-stop...
Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).
Kitu kimoja kilichonisitua ni uoneshaji holela wa video show kwenye mabus bila kuzingatia maadili ya...
Raila Odinga and Kalonzo Musyoka protested the provisional and final presidential election results following the Tuesday, August 8, election, claiming the results were computer generated. They based this on claims that the Independent Electoral and Boundaries Commission’s systems were hacked and...
Kwanza napenda ku declare interest, mimi ni mkazi wa kudumu wa mkoani Katavi, jijini Dar es Salaam huwa nakuja kwa ajili ya masuala ya kiuchumi. Wiki nzima hii niko hapa jijini Dar rs Salaam kwa ndugu maeneo ya Kimara.
Tatizo kuu nililoliona maeneo haya ni umeme kukatika mara nne hadi tano kwa...
Dar es salaam Rapid Transport (DART) imeeanza kuwa ni balaa badala ya neema kwa wakazi wa Dar es Salaam. Walianza kwa bashasha, nara oooh tutatoa huduma ya usafiri kwa Jiji la Dar es Salaam kwa uweledi uliotukuka na kila dakika 5 basi linaingia kituoni.
Kwa jinsi muda unavyozidi kwenda na...
Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika.
Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio iliokamilika.
KENYA ilikuwa katika nafasi ya 15
DHAHABU:
Jemima Sumgong...
Bara la Afrika ni mshiriki mxuri wa michezo ya Olimpiki kuanzia kule Rome mwaka 1960 ambapo shujaa wa Afrika Abebe Bikila alitwaa medalu ya dhahabu katika mbio za marathon kwa muda wa saa 2:15:16.2 na ushindi huu ndio ulioleta medali ya kwanza ya olimpiki kutwaliwa na nchi ya Kiafrika. Kuanzia...
Muda huu karibu saa moja kasorobo asubuhi ndiyo napita maeneo ya stand ya Jangwani.
Njia nzima tangu Kimara hadi hapa Jangwani stand vituo vimejaa watu kwa mamia kama wako kwenye msiba.
Mabasi yanayoenda Kimara hayawachukui na yakitoka Kimara yanakuwa yamejaa yanawapita tu.
Niko najiuliza...
Niko jijini tangu juzi. Leo nimejihimu tangu saa 12 asubuhi kuwahi bus la mwendo kasi hapa kimara. Nimekuta kituo kimejaa sana, abiria wamefika tangu saa 11. Ajabu bus la kwanza limekuja saa 12:15. Naona hawa viongozi wa DART/BRT hawajui maana ya demand and supply. Ushauri wa bure, badilikeni.
Kwa kweli Mama huyu kanifurahisha kwa kuagiza vyombo vya dola viwakamate wauaji ndani ya saa 24. Hata hivyo najiuliza, kwani wauaji kukamatwa ni mpaka isubiri amri ya Mheshimiwa Makamu wa Rais??? Swali la nyongeza, hivi wale wauaji wa Ndugu Mawazo walishakamatwa??
=======================...
Muda mchache uliopita vituo vya uchaguzi vimefungwa huko Philipines. Taarifa za awali za kiurafit (Survey) zinaonesha kuwa mgombea urais mkali na asiyeoenda mzaha Rodrigo Duterte anaelekea kushinda. Mgombea huyu hana simile inapokuja suala la kupambana na majambazi, wezi, wauaji, wahujumu...
Ndugu wanajamvi,
Nimefuatilia hotuba ya Waziri Nauye wakati akiwa mkoani Tabora akisisitiza kuwa TBC ni lazima ibadilike iwe na umakini wa hali ya juu wa kufuatilia matukio ndani na nje ya nchi, na ikiwezekana iwe ni ya kwanza kuripoti.
Hata hjivyo hadi leo niko najiuliza hii TBC imeshindwa...
Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika katika utatuzi wa mgogoro wa Libya ameshiriki Mkutano wa Kamati ya Uandishi ya Baraza Maalum la Uandishi wa Katiba ya Libya (Constitution Drafting Assembly) unaoendelea mjini Salalah, Oman. Mkutano huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.