Search results

  1. kibol

    Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu

    KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Kinondoni Municipal Council (KMC) ya Dar es Salaam. Mratibu wa kampuni ya Siyavuma Sports Group, Michael Mwebe ameiambia Bin Zubeiry Sports –...
  2. kibol

    Ukerewe: Hakimu apiga marufuku majengo ya umma kutumika kisiasa

    MAHAKAMA wilayani Ukerewe mkoani Mwanza imepiga marufuku vikao vya vyama vya siasa kufanyika kwenye majengo ya taasisi za umma. Marufuku hiyo ilitolewa juzi wilayani hapa na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Nansio, Charles Bilomela baada ya viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na...
  3. kibol

    Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

    Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja ikiwa inaongoza ligi kuu, itavaana na maafande wa magereza Tanzania ambao wako katika nafasi ya...
  4. kibol

    Habibu Haji Kyombo njia nyeupe Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

    Taarifa kutoka katika klabu hiyo zinaeleza kuwa Habibu Kyombo alifanyiwa vipimo hivyo jana majira ya saa 7:00 mchana katika makao makuu ya klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini na sasa kinachoendelea ni makubaliano binafsi ya mchezaji na klabu hiyo. " Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii...
  5. kibol

    Wana Msimbazi wenzangu Kagere anaweza kuondoka simba muda wowote kama mipango ikienda sawia.

    Klabu za As Vita ya DRC Congo na zamalek ya misri zipo tayari kumnunua kwa Dola 200,000 ( ambazo ni sawa na Sh460 milioni),. Meneja wake alisema fedha hizo zitakagawanywa mara tatu, Simba itaambulia chao kwa kuvunjwa mkataba huku meneja na mchezaji nao watapata chao. Simba walimsajili Kagere...
  6. kibol

    Tukutane Chamazi complex, Mtibwa sukari Vs Northern dynamo....mtanange wa kimataifa huu.

    Mtibwa sukari wana wa madizini kutoka pale turiani morogoro leo watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Northern dynamo kutoka pale Ushelisheli, ikumbukwe kuwa Mtibwa wana zaidi ya miaka 14 hawajashiriki michuano hii ya kimataifa wakati Northern dynamo ndio mara yao ya kwanza kabisa kupata nafasi ya...
  7. kibol

    Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

    Leo kutakuwa na mtanange wa kukata nashoka kwenye moja ya viwanja bora kabisa nchini, uwanja wa kaitaba huko bukoba, yanga atakuwa akitafuta points tatu muhimu ili kujikita kileleni mwa ligi na kuzidisha gap lake dhidi ya mtani wao, huku kagera sukari nao wakihitaji alama tatu muhimu kwasababu...
  8. kibol

    Michelle akiri kuvuta bangi na 'boyfriend' wa ujanani kabla ya kukutana na Barack Obama

    Michelle Obama ametoa siri zake nyingi katika kusanyiko la matukio katika maisha yake kwenye kitabu chake cha "Becoming" Kwenye kitabu hicho, Michelle anasimulia mambo mengi kuhusu maisha yake ikiwemo jinsi alivyovuta bangi akiwa na umri wa miaka 16. Hata hivyo, Michelle hakuzamia suala hilo kwa...
  9. kibol

    Soka la bongo na ufadhili wa watanzania wenzetu wenye asili ya Asia

    Wakuu heshima mbele, nimewiwa kuandika hii sredi baada ya kufuatilia historia ya muanzilishi na mmiliki wa limbe leaf baadae Tukuyu stars Ramnik Patel, kwa ufadhili wa huyu mhindi Tukuyu stars ilikuwa bingwa mwaka 1986, ikashuka daraja 1987, Ramnik akapambana akairudisha ligi kuu mwaka 1988 na...
  10. kibol

    Leo imetimia miaka 100 baada ya kumalizika kwa vita vya kwanza vya dunia.

    Tar 11 Nov 1918 ndio ilikuwa mwisho wa kadhia hii iliyoondoka na mamia kwa maelfu ya roho za walimwengu wa dunia hii ikiwemo na wa Tanganyika wenzetu waliopigana upande wa mkoloni wao, muhimu ni kuwakumbuka na kuwaombea roho zao huko waliko.
  11. kibol

    Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

    Nimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa katika klabu kubwa kama yanga, Marcel Kaheza ni bora kuliko huyu mkongomani, usajili huu ni upotevu wa...
  12. kibol

    Makundi ndani ya CCM yana historia pana

    Na Frey Cosseny Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama vya vingi hapa nchini ndani ya Chama Cha Mapinduzi kulitokea makundi yanayohasimiana katika Vita ya kutafuta kuongoza dola. Makundi haya yapo kuanzia ngazi ya Urais hadi vijiji/mitaa. 1994 ndani ya ccm iliasisiwa makundi matatu muhimu ktk Vita...
  13. kibol

    Madaktari tusaidieni kuhusu kifo cha mapacha wale wa Iringa, Maria na Consolata

    Kama tulivyopata taarifa jana jioni ni kuwa mapacha wale walioungana kiunoni ila kila mmoja akiwa na moyo wake na kichwa chake wamefariki dunia, taarifa zilizokuwa zimezagaa mtaani ni kuwa mmoja ndio alikuwa anaumwa, na ata kwenye kufariki dunia wametofautiana kwa dakika kumi, yaani mmoja...
  14. kibol

    Wazee wenzangu wa ndondi kesho ni usiku wa vitasa, nani atalambishwa sakafu?

    Kama mnavyojua kesho tar 06/04 /2018 kuna mapambano makali ya kukata nashoka kwenye uwanja wa kinesi, binafsi nasubiria kwa hamu pambano kati ya Mada Maugo Jr aka mbunge mtarajiwa wa Rorya na Kanda Kabongo, utamu wa pambano hili ni kuwa Kanda Kabongo kaomba marudio baada ya pambano la kwanza...
  15. kibol

    Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

    Ni muda sasa umepita sijamsikia kwenye VPL, dogo alivuma sana kwa muda mfupi na kupotea ghafla, ninachokumbuka alitofautiana na viongozi wa simba sports club kwasababu za maslahi na kutimkia azam, baada ya hapo sijamsikia tena, hivyo yeyote yule mwenye taarifa za mahali alipo bwana mdogo huyu...
  16. kibol

    Msaada wenu, mtu anapost picha zangu kwenye mitandao bila ridhaa yangu

    Kwa kifupi kuna dada nilishawahi kuwa na mahusiano nae kipindi cha nyuma kabla sijaoa, baadae nilioa tena kwa ndoa takatifu kanisani, katika siku za karibuni amekuwa akipost picha zangu katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kuandika maneno mbalimbali ya kidhalilishaji yanayoniletea shida sana...
  17. kibol

    Rais Mstaafu Mkapa alia na sera ya utumishi wa umma katika kavazi la Mwalimu Nyerere

    Mkapa alieleza kusikitishwa kwake na jinsi mfumo wa utumishi wa umma ulivyoparaganyika nchini,ambapo sasa mtu yeyote anaweza kupata nafasi yeyote bila kujali historia yake ktk utumishi. Sera ya utumishi wa umma imeparaganyika kabisa.Lakini zamani,muulizeni mzee Msuya waziri mkuu...
  18. kibol

    Ni nani hasa aliyeasisi mtandao huu wa kifisadi nchi mwetu ?

    Wakuu, Nimekuwa nikijiuliza hasa hivi kwanini kashfa kubwa kubwa za kifisadi hazikauki masikioni mwa watanzania tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990?Rejea uvunjwaji wa baraza la mawaziri wakati wa utawala wa rais Mwinyi kwa ushawishi wa mwalimu, uuzwaji wa Loliondo na mazingaombwe yake...
  19. kibol

    Hivi wanaume nao wanahitaji kitchen party au tumekamilika?

    Jana nimewahi kufika zangu homie,natafuta usingizi siupati kisa kelele za kitchen party ya wanawake cuz nilipopanga ni karibu sana na bar moja maarufu hapa town,infact walikuwa wanaelekezana mambo ya msingi eg how to handle a man within marriage na mambo mengine yanayofanana na hayo,nikajiuliza...
  20. kibol

    Wakuu naombeni msaada wenu tafadhali

    Nimeanza kuugua tarahe 14/01/13,baada ya kusikia maumivu makali ya kichwa,mafua makali pamoja na kukohoa kwa hapa na pale,siku inafuatia nikaenda kupima malaria nikaambia iko 2,nikachukua dawa mseto nimemeza iyo dozi leo ndio ninamalizia,ila tatizo ni homa za mara kwa mara ambazo huwa ni kali...
Back
Top Bottom