Search results

  1. M

    Hivi degree ni Mali ya Chuo kinachotunuku au ni Mali ya Mtunukiwa aliyekidhi Vigezo vya Kutunukiwa

    Kumbe unamjua, jirani yako huko Songwe, pia akijiita Wakudadav
  2. M

    Hivi kwa nini wenye tabia za sodoma na gomora wana 1,2,3,4......

    Angalia I'd yake, mashetani yote, huyu ndio kaka yao
  3. M

    Hivi kwa nini wenye tabia za sodoma na gomora wana 1,2,3,4......

    Kweli wewe ni kaka yake shetani, Hadi baa za mashoga unazijua,
  4. M

    Katiba ibadilishwe kumuzesha Rais kutimiza maono yake ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi awamu iwe miaka 7 ukomo nafasi husika ya uondolewe

    Kikwete angeendelea bila ukomo wa kikatiba, JPM na Samia ungewajulia wapi? Kesho ni mbali sana kwa maisha ya binadamu, lolote linaweza kutokea, Rejea Rais wa Iran,
  5. M

    Gwajima umezidi uongo, wana Kawe tumekuchoka

    Nani amekupa malamla ya kuwasemea wanaKawe?
  6. M

    Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

    Ndio madhara ya kusikilizia mautamu, unaenda jela maisha au kunyongwa
  7. M

    Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

    Nimeelewa hapo uliposema wanajiachia mazima, Yani kijana achague ananataka nini na style gani, Hapo kijana anaona Dunia yote ya kwake, siku akisalitiwa anauwa, anaishia jela
  8. M

    Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Kuna watu ni zaidi ya wanyama, hamu ya kusimamisha na mumlawiti mtoto, tena makaburini inatoka wapi ?
  9. M

    Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

    Mambo mengine Usaliti upo hadi kwenye ndoa zetu, Ije kuwa kwa muuza pombe Tena single mother wa watoto wawili, Ukishonga chochote, ndio kimeenda hivyo, hivyo jipigie uwezavyo, ikiwezekana zama hata topeni, Ukimaliza Fanya yako,
  10. M

    Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

    Huko mahabusu alipo, anajuta na kusaga meno mda huu, Wanaume wengine sijui akili wanaziweka wapi? Au ndio uchungu wa hela za kujenga tofali juani,
  11. M

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Ayatollah ni kiongozi mkuu, kama alivyokuwa Mkuu mbona umechafukwa hivi, Hao jamaa ni wazembe sana, kuna mdau humu amesema hiyo chopa hata Nape asingekubali kuipanda,
  12. M

    Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

    Ubunge wa kuridhi kutoka kwa kwa marehemu mother wake. CCM Ina wenyewe, kuna familia Hadi vitukuu vitateuliwa kuongoza nchi,
  13. M

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Ukimuona alivyo na kipanki chake kichwani, waweza kudhani ni mtu wa maana, Kumbe bure kabisa,
Back
Top Bottom