Kwa uthubutu na utenda kazi usio chosha, ni vyema sasa Mamlaka za uteuzi zimteue Makonda kuwa Mkuu wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
Kwa huyo Nurdin Babu sielewi hata huo Ukuu wa Mkoa alipewa kwa kigezo kipi!
Mwanga Lutila usikariri eti kila mgeni humu hakuwa mfuatiliaji wa mijadala ya Jf.
Na si kila kuku mgeni huhitaji kamba mguuni-jiongeze!
Uone Error 404.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.