Ngoja nikupe siri Mimi na mke wangu mtarajiwa hatutafanya kazi baada ya ndoa tutakaa nyumbani tu pamoja na watoto wetu tutaajiri wafanya kazi sisi tutakuwa kama maboss tu, 😊
Daah, pole sana kwa experience yangu na ujuzi wangu wa biashara kusema ukweli biashara ya ufugaji sio biashara ya kufanya, kwa kifupi huyo mshakaji hana akili ya maisha, hii inaweza kuwa mbaya kwenye mahusiano yenu ya baadae katika uhalisia jamaa anazingua hana dira.
Yeah upo sahihi pia hakuna ubaya kwenye muziki ila unaweza kuwa mbaya watu wanapoimba matusi na sio kuelimishana au burudani pekee, Kwahiyo mpira hauna tatizo ni vile baadhi ya watu wanavyo fanya wenyewe
Mpira, mziki, dance, uchoraji, uvaaji hivi vitu kwa uelewa wako vina tatizo lolote jibu nihakuna tatizo, hivyo mpira hauna shida ni mazoezi na kazi za watu
Kuna maneno kwenye biblia haya tafsiriwi kama unavyo nukuu kifungu kimoja kimoja anzia kusoma kitabu kizima ukiwa unanukuu katikati ya maongezi yake hauta elewa lazima utapata maana tofauti
Chochote chenye madhara kwenye mwili wa mwadamu kukitumia ni dhambi dhidi ya mwili wako mwenyewe mfano pombe huwa inaathiri utendaji kazi wa mtu mfano kulewa kunapoteza energy ya mwili mtu anakuwa kwa asilimia kubwa hajitambui, mfano sigara na bange mtu anaweza kupata matatizo ya mapafu...
Hebu chukua mfano wa mitume kwenye biblia kama walitengeneza misalaba na kuiabudu, hebu chukua mfano wa yesu kama aliabudu sanamu ya maria, kiufupi haya yote ni uzushi na uongo wa wazi wazi msalaba hauna chochote mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.