yaaaah mkubwa umeongea point sana huyu dada sjui kalogwa daaa yan anavua had utu wake
yan wanawake bana sjui wana nn yan inapoelekea anaweza bua ata samaki katik bwawa na miti ilochongwa huyu sista akatwangwa na mchi na kuvmba juuu kama pulzo daaaaah mpeni mawazo atauvua utu
sema.pia hapo n...
we jamaa mbona anatuona kama mtoto wake aisee mpka sasa ajatuma kitu na wew ndo chawa vp sasa inakuaje ongea nae host wako atume bas kam hatak asem imeisha tufany ishu za msng kulko kutuon kama nyau au bfaranga vya kunguni
labd utueleweshe vya kueleweka aisee ulokua ukyafanya ili tuone umeonewa au ni haki yako mkubwaaa
huenda tukfaam utatuepusha AU hautaki ili tuwe sawa kama ilvo usawa vya kila mtanzania
h
apo ni kweli kjana wa mungu mana s unajua kuna wengne makenge hawaamini mpaka watoke damu
ila uwe unatupia na pcha yan kama ulkua fild yani ili upate credit za kutosha mana iman imetoweka sana uzi wa uhakika watu makenge yan haiamn
tat
zo n msmuliaj stor isngepoa tatzo huyo jamaaa yan mpak ajskie kutuma so imepelekea stor kupoa koz hamu ya kupata kitu inaishia pnd kitu knapochelewa kupatkana so stor bado kupoa sema msmuliaj.kapelekea kukosekana radha iliotegemewa ktk vchwa vya weng
HAYO N MAWAZO YANG SIO LAZMA KUYAPOKEA...
sema awe anatoa pakage ya kutosha anakaa sana bana mpaka utamu unakata tunassau tena kama vp awe anatoa epsode mbili kwa pamoja kisha wki mbili tena kulko kukaa muda mrefu kama tunasbr gunia la pesa au tunasbr nchi ya ahad babu
zngatia hayo
sema kaka upuunguze tamaaa bas kama mdada kameamua kutulia na kukujali juu yako kwa kila kitu sasa tamaaa kwa mbwa mbwa za nn aiseee et mfano apo naon inaelekea bomba linatak kummwagia marry wa kaz gan xaxa onetme huyo iryn yupo sahii kwa kua we n mshenz na hiki kitu wabongo weng tunafel
iryn...
alaf wwe dada, naona una roo ya umaskn na kwasababu unavo muongelea iryn kama n mtu mweny hatia kumpenda jamaaa alaf kumbuka mam j bad hajaolewa na iryn bad hajaolew ila jamaaa aliwai kumzalsha mama j na kama kpnd hiko angekutana na iryn kabl ya mam j angemuona iryn
Alaf iryn sio anajpa credit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.