Search results

  1. THE BEEKEEPER

    Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

    Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
  2. THE BEEKEEPER

    Tuwe makini na vyakula nya njiani wakati wa safari

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi Alipofika Kateshi akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Akaomba na...
  3. THE BEEKEEPER

    Liverpool na Chelsea Leo carabao cup mwamuzi wa kati simuelewi kabisa

    Huyu cancedo amecheza rafu ya ajabu harafu mwamuzi wa kati kaangalia tu!
Back
Top Bottom