Makonda ni TINGATINGA jingine la Tanzania. Tulikuwa na Mwanamapinduzi, Mkombozi wa kweli wa Watanzania, Bulldozer, JPM, lakini sasa yupo Makonda anamwakilisha vizuri kabisa JPM.
Kwa kifupi, Makonda hata akipewa ubalozi wa nyumba 10, atawafunika wote walio juu yake bila kujali vyeo vyao.
Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa.
Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta.
Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
Hapo wameshakula kitisho kwamba watafungiwa biashara yao.
Ukweli ni kwamba, hakuna mtu yeyote kwa sasa anaweza kushindana na JPM halafu mtu huyo akashinda.
JPM ni JIWE WALILOKATAA WAASHI. Kila atakayejikwaa katika jiwe hilo ataumia sana na yule litakayemwangukia jiwe hilo atasagika kama uji.
Kwa...
Ninachokijua ni kwamba, Iran siyo ya kitoto. Nadhani hata Biden na Netapuss wanajua hilo ndo maana wanaigwaya Iran.
Ikumbukwe kuwa, Israel iliposhambuliwa tu hatua ya kwanza ilikuwa ni kuomba UN kuitisha kikao cha dharula badala ya kujibu mashambulizi.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachungaji wanaojinasibu eti wana uwezo wa kutenda miujiza kama vile kuponya watu, nk.
Binafsi naona huu ni Utapeli uliokomaa na kuvuka mipaka.
Je, Utapeli huu utakomeshwa lini na nani wa kuukomesha?
Hakuna kitu hapo. Hezbollah tu waliipigisha kwata Israel zaidi ya miezi mitatu, mpaka wakasalimu amri, itakuwa Iran ambayo hata Marekani wanaiogopa?
Marekani wangekuwa hawaiogopi Iran wasingeiomba Israel kujizuia kulipa kisasi.
Israel imechakazwa kwa kiwango cha kimataifa lakini vyombo vya habari kama kawaida vinaibeba Israel.
Marekani wanakumbuka kipigo walichokipata kutoka Iran walipomwua mkemia wa nyuklia wa Iran.
Base za kijeshi zilizopo mashariki ya kati zilichakazwa kwa kiwango cha kimataifa. Wanajeshi zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.