Search results

  1. B

    Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Habarini ndugu zanguni [emoji2321] Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani. Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau...
  2. B

    Dalali wa vyumba Dar anisaidie

    Sifa za chumba Kiwe kidogo Kingae, I mean kipya kipya na vigae chini. Wilaya ya ubungo au kinondoni Mazingira kidogo ya rami (isiwe uswahilini sana) Umeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate) Kulipa kwa miezi mitatu Muanzia cha 50k hadi 100k kwa mwezi nachukua (Chumba kifanane na bei) ** kwa...
  3. B

    Nahitaji Kikundi Cha watu 10 Tufanye Jambo.

    Hello, kama unaujuzi wowote wa Maswala ya mtandaoni, au una audience kubwa mtandaoni, mnaonaje tuwe kama watu kumi tufanye jambo. Coz kwenye swala la online earning watu Hua wanaujuzi mbalimbali tofauti tofauti, kingine unaweza pata hiki alafu ukakosa hiki ambacho mwingine anacho na kikubwa...
  4. B

    Naweza kutengenezaje Payment Links?

    Nina website, nahitaji kupata njia ya kuaccept Mobile money payments. Siwezi tumia vitu kama selcom, pesapal au dpo pay kwa sababu huwa wanaomba document za kibiashara. Kuna njia yoyote mbadala wakuu????
  5. B

    Mkienda mikoani kibiashara, kusave Gharama huwa mnalala wapi?

    Mimi n mkazi wa Dar, Sasa nahitaji kuanza kwenda mikoani kutafuta soko la bidhaa yangu. Kwenye kutafuta soko Huwa ni 50/50 kunakupata na kukosa, na pia inachukua muda kumshawishi mteja ambae ni muuzaji wa duka kuchukua bidhaa yako hivyo inabidi kuja na kurudi japo siku tatu hivi ili aone...
  6. B

    Wanaohitaji Cheese (Mozarella & Cheddar)

    Kama unahitaji Mozarella cheese, cheddar cheese au Paneer cheese. Nitafute WhatsApp 0749220083 tufanye Biashara. Kwawasiyo zifahamu, Hua zinatumika kutengenezea Pizza.
  7. B

    Natafuta Mchumba

    Sifa Zangu Mm n wakiume [emoji1] Mkristo Nimejiajiri- (IT) Sifa za Mchumba ×2 Awe wa Kike Umri From 19-25 Dini Yeyote Aishi Dar es Salaam Vingine Tutaviongea [emoji120] Njoo inbox Tuyajenge [emoji171]
  8. B

    Jinsi ya kuandika CV, wasifu wa kazi unaovutia

    Sehemu ya Kwanza: Maelezo Binafsi na Mawasiliano Maelezo ya Kibinafsi: Anza CV yako kwa kujitambulisha kwa jina lako kamili, anwani, namba ya simu, na anwani ya barua pepe. Hakikisha maelezo haya yako wazi na sahihi. Muhtasari wa Kibinafsi: Ongeza muhtasari mfupi wa kibinafsi unaoweka bayana...
  9. B

    Jinsi ya Kupika keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji na Kwa Kutumia Vifaa na Mashine za Kisasa

    Sehemu ya Kwanza: Kupika Keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji Kukusanya Vifaa: Kwa njia hii, tutahitaji bakuli kubwa, kijiko, bakuli la kuchanganyia, na vifaa vingine vya kienyeji kama vile bakuli la kuchanganyia, kijiko, na kikombe. Kupima na Kuchanganya: Pima viungo vyako, kama vile unga...
  10. B

    Jinsi ya Kupika keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji na Kwa Kutumia Vifaa na Mashine za Kisasa

    Asante kwa kujiunga nasi leo! Leo, tutajifunza jinsi ya kupika keki kwa njia mbili tofauti: kwa kutumia mikono na zana za kienyeji, na kwa kutumia vifaa na mashine za kisasa. Kila njia ina sifa zake na inaweza kuleta keki bora na tamu. Bila kuchelewa, twende kwenye safari yetu ya kipekee ya...
Back
Top Bottom