Search results

  1. K

    MSAADA? JE PREP NA PEP ZINAWEZA KUFANYA KAZI MOJA

    Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom. Wakati PEP ni vidonge anavopewa mtu baada ya kukutana kimwili au kufanya ngono zembe na mtu ambae...
  2. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    Naitwa x,natokea mkoa x, kwanza kabla ya yoye nipende kuishukuru jamii forum, kiukweli mimi binafsi imenisaidia sana kupitia kuomba ushauri mbalimbali, Najua kunabaadhi ya watu watanitukana kutokana na hiki kisa changu,kutukana ni ruksa kwani mimi pia baada ya kuamka kwenye usingizi mzito...
  3. K

    Msaada: Nitapata wapi maroba kama yale wanayowekea mkaa

    Natumai wote ni wazima wa afya, naomba mwenye kujua wapi ntapata maroba ya kuanzia debe sita kwa bei ya jumla, na kama kuna mtu anajua bei ya jumla yanauzwa shs ngapi.
  4. K

    Msaada jamani hiki ni nini?

    Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na...
  5. K

    Aliniambia nikichepuka ataondoka na mtoto wangu na sitampata kamwe, yametimia ameondoka na mtoto nifanyeje?

    Naandika hapa huku machozi yakinitoka, nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda ntapata faraja. Ni wiki sasa nimejifungia ndani hata kazini siendi. Story iko hivi kwa kufupisha sana nisiwachoshe, mimi ni kijana nnaeishi na mwanamke na tumejaliwa kupata mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa mwaka...
  6. K

    Hiki ni kinywaji gani?

    Wakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada please
  7. K

    Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

    Poleni na majukumu ya Kila siku, nimekuja kuomba ushauri hapa Jamii Forums sababu naamini humu kuna watu wenye uzoefu au washawahi kutokewa na scenario kama hii. Nisiwachoshe, mimi ni kijana wa miaka 34, baada ya kuona umri unasogea halafu sipati mtu ambae ninampenda, nilizoeana na binti ambae...
Back
Top Bottom