Mimba zangu zote sijawahi kula udongo au vitu vichachu......
Vitu vyangu pendwa nikiwa na mimba Kilimanjaro, nyama choma ya mbuzi samaki achemshwe na chumvi tu, mihogo , maini, maji niyawekee limau na kiugali cha muhogo. Nimemiss heka heka za mimba.
Mie mama wa nyumbani ratiba yangu ni hii
Jumatatu napika mkate wa ufuta na maziwa
Jumanne : viazi vya kukaanga kachumbari na chachandu
Jumatano: mihogo mixer viazi na karanga za kuchemshwa
Alhmisi : maandazi na rost inategemea mzuka wa siku hiyo
Ijumaa : kiporo cha maharage na wali sababu...
Hapo ndio mnadanganywa Ngekewa ni aina ya mvuto unakua nao, unakumbuka mwenda zake alivyobadili upepo kipndi kile cha uchaguzi??? Na si kila dawa inahitaji damu ya mtu wako... Kwenye madini bila ndumba utaishia kuwasindikiza kina nyanda madirisha
Niko kwenye madini sina uzoefu kivile lakini mambo ni zaidi ya uyajuavyo.... Hiyo losi uliyokula ni ndogo sana kwenye hii field nakushauri mdogo wangu anza kununua mifuko kama mtaji wako ni mdogo au kama una mtaji mkubwa nunua dhahabu kamili kawauzie ma tycoon wa kazi,,,, ukishindwa kuna wakubwa...
Haya nenda mpka mulusagamba huko,, uliza wenyeji ukiona wapata tabu uliza kwa mzee wa matuta na maji aliemlimisha matuta mtu na wazifa wake akaleta dharau kilichomkuta anakijua yeye sa hivi ni story,,,, halafu uchawi ni gharama za pesa, muda, na mali hakuna cha rahisi kisicho na gharama..... Pia...
Nilijiunga jf 2012,,, ilinilazimu niiache ile id yangu na kuanza maisha mapya nikawa naingia kama guest baadae nikajiunga na id hii 2023.. Nawamiss sana baadhi nawaona napita kimya. Hongera kwa kutimiza miaka hiyo ndani ya jf.
Binafsi nilifurahi sana kusikia pamba imepanda daraja na kuingia ligi kuu,,, juzi nimefanya suprize party kwa watoto wangu na hubby wangu maana hiyo timu ina historia kubwa sana katika maisha yangu..... Pia naiombea ilete ushindani mkubwa.
Sina kazi na sijawahi kufanya ninachokijua kwa watu ambao nina ukaribu nao mara tu wapatapo ajira hubadili mfumo wa maisha na kuanza kuishi maisha ya juu kuliko uhalisia wa kipato..... Mfano cousin leo weekend sina hela nitumie laki mbili au moja na nusu??? Unajiuliza kwa maisha ya mwalimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.