Search results

  1. M

    Uchambuzi: Nauona mwanzo wa mwisho wa CCM 'B'

    Ndugu zangu, Kuna mtangazaji wa redio kule Arusha amenihoji mchana huu. Ametaka kujua tafsiri yangu kwa kilichotokea jana. Nilimwambia, kuwa tafsiri moja kubwa ya kilichotokea ni kuwa Edward Lowassa sio kwamba yuko njiani kurudi CCM, bali ameshafika nyumbani alikotokea, CCM. Lowassa amerudi...
  2. M

    Tafadhali Usininukuu: Kwenye Dini Na Siasa Kuna Mahali Tunakosea...

    Ndugu zangu, Nahofia tunachanganya na kushindwa kutofautisha kati ya dini, siasa na siasa za vyama. Mengi ya kila siku maishani yana siasa ndani yake lakini si lazima yawe na siasa za vyama. Kiongozi wa kiimani anapaswa kuwa huru kuzungumzia kwa ujumla wake masuala ya kijamii kwa lengo la...
  3. M

    Neno La Leo: Banana Republic- Jamhuri Ya Migomba

    Ndugu zangu, Tuna wajibu wa kizalendo kuzuia nchi yetu isigeuzwe kuwa Jamhuri ya Migomba. Maana, ilivyo sasa, tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia baadhi ya tuliowapa dhamana za uongozi wakiwa na matarajio ya kuvuna utajiri wa haraka kwa kufanya biashara na uchumi wa nchi ili kujinufaisha...
  4. M

    .. Opposition Is In Disarray.

    Ndugu zangu, Hata mwezi haujapita, niliweka hoja hii mezani kwenye ukurasa wangu wa FB. Kuna ambao walinielewa, lakini kuna ambao hawakunielewa mpaka kufikia kunijadili mtoa hoja badala ya hoja iliyokuwa mezani. Ni haki yao. Upinzani katika hali ya sasa umesambaratika. Kuna kosa kubwa...
  5. M

    Mugabe, mjusi aliyepambana na mawaziri wote wakuu wa uingereza

    Ndugu zangu, Kwenye kitabu chake; ' Dinner With Mugabe', Mwandishi Heidi Holland anauelezea mkutano wa mwaka 1979 kabla ya mkutano wa Lancaster wa mazungumzo ya Uhuru wa Zimbabwe, ni kati ya Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Uingereza, Lord Carrington na Robert Mugabe. ( Dinner With Mugabe, pg 129)...
  6. M

    Neno La Leo: RC Makonda Na Makolongulu..!

    -Haki Yako Ya Kurusha Mikono Inaishia Inapoanzia Pua Ya Mwenzako... Ndugu zangu, Inahusu haki. Hata mkiwa wawili chumbani, aayesinzia kwenye muda wa kulala ana haki ya kutaka utulivu. Kama mwenzako kalala, wewe mwenye hamu ya kusikiliza muziki kwa sauti unapaswa kiungwana ukasikilizie nje ya...
  7. M

    Kwanini General Chiwenga Anacheka Na Mfungwa Wake?

    Zimbabwe Nyuma Ya Pazia: Kwanini General Chiwenga Anacheka Na Mfungwa Wake? Ndugu zangu, Picha hiyo imeishangaza dunia. Kwamba Rais aliyepinduliwa na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani ' House Arrest', anatembelewa na kiongozi wa mapinduzi. Wanakaa kuongea, kunywa chai pamoja na kucheka...
  8. M

    Dr. Slaa ni mjamaa, gumzo kuhusu anavyoishi Canada linathibitisha ujamaa wake

    Ndugu zangu, Jana na leo kwenye gazeti la Mtanzania kuna habari kumhusu Dr Slaa na anavyoishi akiwa ughaibuni. Inasemwa, kuwa kuna wenye kumshangaa Dr Slaa kufanya kazi ikiwamo ya kwenye duka kubwa huko aliko. Dr Slaa kupitia majibu yake kwa mwanahabari wa gazeti hilo ameweza kuweka wazi...
  9. M

    Hili la Kamari/ Betting ni kama wanaojua hawataki wengine wajue madhara yake

    Ndugu zangu, Msingi wake hasa ni wajinga ndio waliwao. Ukweli kuwa binadamu anayeendekeza kucheza kamari anakuwa mgonjwa wa kamari. Ni maradhi. Anayecheza asaidiwe kujua hilo. Na kamari kimataifa ni halali lakini haipaswi kuhamasishwa kuchezwa hata kupitia media , tena kwenye muda ambao watoto...
  10. M

    Anayepewa kitalu cha kuwinda hajawahi hata kuwinda Sungura Pori

    Ndugu zangu, Nchi Ya Kusadikika haijawahi kukumbwa na ukame wa maajabu. Wasadikika wamepokea taarifa kuwa, huko nyuma Mawaziri wenye dhamana ya Maliasili na Utalii kimsingi ndio waliokuwa na maamuzi ya nani apewe kitalu cha kuwinda na nani asipewe. Hilo lilifanyika baada ya Waziri mwenye...
  11. M

    Uchambuzi: Kama Urais Ungekuwa Wa Miaka Miwili..

    Ndugu zangu, Niliandika makala mara ile Rais John Pombe Magufuli alipotimiza Mwaka Mmoja akiwa madarakani. Itakumbukwa, mwaka jana, na kwenye siku yake ya kuzaliwa, Rais wa Awamu ya Tano, Dr John Pombe Magufuli aliacha kula keki yake ya kusheherekea siku yake hiyo na kuamua kuwa kazini...
  12. M

    DC Kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kamari ya Tatu Mzuka

    Ndugu zangu, Niwe mkweli kwa Nchi yangu niliyozaliwa. Jambo hilo pichani ni la kushangaza. Sidhani kuwa hiyo ni kazi ya DC. Tunadhani si jukumu la DC kutumia muda wake kushuhulika na masuala yenye kunufaisha mtu mmoja mmoja na kwa kupitia kamari za kubeti na kadhalika. Media yetu siku hizi...
  13. M

    Historia ni Mwalimu Mzuri: Siku Profesa Kighoma Ali Malima alipoondoka CCM...

    Ndugu zangu, Nimekumbushia hilo mara nyingi, kwamba historia ni Mwalimu Mzuri. Hata kama wengine mlikuwa hamjazaliwa, lakini, hakuna marufuku ya kusoma historia. Tunapochambua haya yanayotokea sasa wengine wetu tunaitazama historia. Ni ukweli wa kihistoria, kuwa CCM ni zaidi ya Chama, ni...
  14. M

    Neno La Leo: Ajabu Ya Kushangilia Kushindwa...!

    Ndugu zangu, Haihusu mpira. Ni jambo zito sana ningependa leo niliweke hapa tulijadili. Nchi yetu na jamii kwa ujumla imekumbwa na hali ya watu kudhani kuna njia za mkato za mafanikio. Kumezuka michezo mingi ya kamari kupitia runinga na kwengineko. Waathirika wakubwa ni pamoja na vijana wetu...
  15. M

    Haya Ni Mapinduzi , Tunaelekea Kwenye Ushindi Mkubwa..

    Ndugu zangu, Oktoba 20 itabaki kuwa siku ya kihistoria kwa hatua kubwa tuliyoifikia kama taifa kwenye kupigania rasilimali zetu kuwanufaisha walio wengi. Hakika haya ni mapambano magumu. Haiwezekani kabisa kuacha kumpongeza Rais John Magufuli, Jemedari wetu kwenye mapambano haya. Vivyo hivyo...
  16. M

    Muhingo Rweyemamu Niliyemfahamu...

    Ndugu zangu, Ametutoka, Muhingo Rweyemamu. Kila nilipokutana nae nilizoea kumwita Kaka. Nilifahamiana na Muhingo kupitia ndugu yangu Absalom Kibanda. Nakumbuka jioni moja mwaka 2000 giza likianza kuingia nyumbani kwetu Kinondoni Biafra , alikuja Absalom Kibanda. Nikakaa nae sebuleni. Kibanda...
  17. M

    Tafsiri Ya Mahakama Kuu Kenya Kutangaza Uchaguzi Mkuu Kenya Ni Batili..

    Ndugu zangu, Tafsiri yake; Kilichoangaliwa na Majaji si matokeo , bali mchakato wa uchaguzi. Kwamba mchakato ulikuwa batili. Na ilivyo, mchakato unaweza kuathiri matokeo. Kenya imethibitisha kuwa Mahakama ni kimbilio la mnyonge na mwenye nguvu. Ndivyo inavyotakiwa iwe. Raila Odinga alionekana...
  18. M

    Kwanini Diaspora Tutumie Jukwaa Hili..?

    Ndugu zangu, Agosti 23, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kufanya Kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi diaspora. Kongamano hili ni mwendelezo wa makongamano matatu ya awali yaliyofanyika mwaka 2014 na...
  19. M

    Napigilia Msumari: Kuna mambo ya Ovyo Ovyo na ya Kipambavu Ndani ya Serikali...

    Ndugu zangu, Kauli ya Rais John Pombe Magufuli akiwa Tanga juzi hapa ni ya kijasiri na yenye kumpambanua kama Kiongozi Mkuu wa Nchi. Rais Magufuli amesikika akisema hivi; " Kuna mambo ya ovyo ovyo na ya kipumbavu ndani ya Serikali." Ni kauli ya kijasiri kwa Kiongozi Mkuu wa Nchi kuyasema...
  20. M

    Ewe Mkurugenzi wa TAKUKURU, mbona orodha hii fupi?

    Waorodheshwe wote waliopokea mgao James, kuna hata wale waliopokea wakatwambia walidhani ni sadaka ya kanisa. Ndio, Escrow ilikuwa zaidi ya ufisadi, ni trauma kwa Watanzania. Wakiwekwa hadharani hata waliopokea iliyotosha viungo vya kupikia mboga ni sehemu ya tiba kwa Watanzania kutokana...
Back
Top Bottom