Pole sana kwa kile kilichotolea , muombe Mungu akusaidie umsamehe rafiki yako ila kingine jisemeashe moyoni kwamba umefanya kwa ajili ya Bwana na sio kwa ajili yake ili upate baraka za Mungu na kuponya moyo wako na maisha yataendelea
Utangulizi
Maandalizi magumu Mafanikio makubwa, nikiwa nasoma habari kadhaa kwenye maandiko matakatifu nikajua kweli maandalizi magumu Yana Mafanikio makubwa
Ushuhuda wa kwanza
Habari ya Sporah binti WA kuhani wa midiana ,huyu Dada katika ujana wake alikutana na changamoto nyingi Sana katika...
Utangulizi
Mara ya Kwanza mkristo unapopata Neema ya kuhokoka , Roho Mtakatifu anaingia ndani yako na pale anapoingia ndani yako kuna kiu ya kutaka kumjua Mungu Sana inaingia ndani yako
Unakuwa na kiu kubwa Sana ya kumjua Mungu na wengine Kwa kukosa msaada wanajikuta wameingia kwenye njia...
Utangulizi
Idadi ya watu ambao wanaomba kazi , kila mwaka imekuwa ikiongezeka mwaka Kwa mwaka , na kila mwaka vyuo vinatoa wataalamu WA Aina mbalimbali
Watu wengi awajui kwamba nafasi ya ajira ni fursa ya Mungu au miungu kutawala ofisi usika, umewai kusoma habari za Daniel , alipoitwa...
Utangulizi
Katika jamii Yetu ni kweli sio rahisi ukafanikiwa pasipo kupata MTU WA kukushika mkono, lakini ni kosa kubwa Sana la kuweka tumaini Kwa Mwanadamu
Ni kweli tunategemeana na tunapaswa kuishi Kwa kueshimiana na kumwona mwenzako ni Bora kama wewe na vitu kama hivyo
Lakini katika Mambo...
Pole Sana Kwa changamoto unazozipitia, tenga Muda wako nenda Kwa Kiongozi wako WA dini ukamueleze yote na Mungu atakusaidie,
Tumia nafasi kuongea na watu wazima wamepitia mengi la kwako linaweza kuwa dogo Sana Ila Kwa sababu imekaa nalo unaona ni kubwa omba Mungu akupe watu wakuwashirikisha...
Utangulizi
Nimekua nikisoma habari mbalimbali katika mitandao ya kijamii, katika Jambo ambalo linanipa maswali ni mabadiliko ya vigezo vya kuoa au kuolewa
Wakati nikiwa kijana mdogo kuna maswali yalinisumbua sana, mana mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na nyumba za watumishi WA umma (magorofa...
Utangulizi
Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.
Nakumbuka katika ibada hiyo...
Sio kila Neno ambalo unaambiwa na Mtumishi au rafiki yako limetoka Kwa Mungu
Utangulizi
Watu wengi duniani Kwa sababu ya kusikiliza maneno ya watu wamepoteza kesho Yao na wengine wamepoteza Maisha Yao kabsa
Sio kwamba kusikiliza ushauri wa watu ni Vibaya , hapana sio kila ushauri unaopokea...
Pole Sana Kwa changamoto unayopitia mtafute Kiongozi wako WA dini atakufanyia maombi na hiyo aliitakwisha ,unaitaji msaada WA Mungu Kwa ajili ya Jambo ili
Pole Sana Kwa changamoto , tatizo sio kwamba Unamikosi tatizo umefanya biashara ambayo hauna uzoefu nayo ndo maana imekufa cha kufanya omba msamaha Kwa wazazi na ongea nao juu ya uwezo wako ili kama wanaweza kukusaidia kupata mtaji mwingine, usijaribu kufanya biashara ambayo hauna ujuzi nayo...
Pole Sana Kwa changamoto ambayo umekutana nayo, cha Msingi Kwanza msamehe Sawa Sawa na maandiko matakatifu tusipowasamehe wengine Mungu atatusamehe , kusamehe kuna Jenga ndani yako na Moyo wako unakuwa na Amani na watu wote , hakikisha unakuwa na Amani juu yake hii itakusaidia , kingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.