Search results

  1. Powell Gonzalez

    Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

    sasa Ford rwahula umelike nini hapa?
  2. Powell Gonzalez

    Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

    Ibraah ft harmonize #DHARAU mungu aliyenipa ukilema hawezi ninyima mwendo, na sikupanga ila imenibidi kulivua pendo, maana mwanzo nilidhani utabdilika, of course hakuna aliyekamilika, masaa, masiku miaka imekatika, nachukia kujiona nikilalamika, bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama...
  3. Powell Gonzalez

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    duuuh konda wa mwendokasi tena au hii ni mwendokasi za mikoani?
  4. Powell Gonzalez

    Wanaume, hii ndio namna ya kusonga mbele kiume

    kumove on sio makalio wazee.... Adam Clark
  5. Powell Gonzalez

    Namna ya kukabili maumivu ya usaliti

    hahaha nchi ina vijana wa hovyo hii
  6. Powell Gonzalez

    Mwanaume mwenye 40s aliyefulia vs Mwanamke mwenye 40s asie na mtoto, yupi mwenye stress zaidi?

    ah hela zinatafutwa.... ila mume na mtoto majaaliwa...nafikiri umenielewa..... kama sijajibu vizuri ngoja waje kukupa muongozo Adam Clark tia neno hapa
  7. Powell Gonzalez

    Namna ya kukabili maumivu ya usaliti

    Mimi siongei kitu maana duuuh....mhoga nimuite mwanangu Mjanja M1 kazi kweli kweli/job true true
  8. Powell Gonzalez

    Vodacom naenda mahakamani

    vodacom umekuwa mtandao wa kijinga sana...jana nimetuma pesa lakini eti haijafika nilikotuma nawapigia eti wananipa masaa 48......sasa huu si upuuzi jamanii....bora nirudi tigo
  9. Powell Gonzalez

    Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Ama kweli ina watu wa hovyo nchi hii, nawe u miongoni mwa watu wa hovyo, nimethubisha hili. Laiti usingekuwa mtu wa hovyo kwenye maswali yote aliyouliza umeliona hilo tu?
  10. Powell Gonzalez

    Serikali iongeze umakini zaidi kwenye Idara ya Ujasusi

    ngoja waje kukupa muongozo, TISS mnaitwa huku...
  11. Powell Gonzalez

    Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    nina kuuliza maswali matatu... swali la kwanza, nini maana ya uzalendo? swali la pili kati ya marekani ni tanzania unaipenda nchi gani? Swali tatu, Ukiambiwa uishi tanzania na marekani utachagua nchi gani? Nabashiri majibu yako. 1. sijui 2. marekani 3.marekani kama majibu yako ni hivyo, basi...
  12. Powell Gonzalez

    Mapenzi yanauma; Kijana Mzimbabwe ajirekodi mbashara Facebook akiwa anajitoa uhai kwa kunywa sumu kisa kusalitiwa

    Na ni watu ambao hujitia misimamo mikali kama mimi na wewe ndio huumizwa!
  13. Powell Gonzalez

    Mapenzi yanauma; Kijana Mzimbabwe ajirekodi mbashara Facebook akiwa anajitoa uhai kwa kunywa sumu kisa kusalitiwa

    Mimi nipo single, lakini siwezi kusema jamaa anafanya kitu cha kijinga.....ila kwa kauli moja nakili ''mapenzi shikamoo''
  14. Powell Gonzalez

    Asili na maana ya DHL

    Keygun Gershom
Back
Top Bottom