Search results

  1. Pleasepast

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Uyu dem unaye muongelea mbona kama namfahamu lakini mimi nilipo kutana nae aliambia ukweli kua amewaka Megawatt nikasepa mbio mbio 😂😂 na sasa hivi amesha ingia kwenye system ya Tamisemi yuko mkoa fulani hivi
  2. Pleasepast

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Hakuna kitu kama hicho ndugu madem wote wa Bar ni malaya tu na wameshaliwa vya kutosha mpaka wamekua sugu
  3. Pleasepast

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Pole umeolea wahuni 😂😂
  4. Pleasepast

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Sasa kama una macho yako ya rohoni huku umefuata nini si umalize kazi na macho yako ya rohoni ayo umuoe uyo malaya aliye achika mara kadhaa ili na wewe upate fundisho
  5. Pleasepast

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Umemaliza Kila kitu mkuu yani mwanamke mjinga watoto wake lazima wanaishia kuteseka
  6. Pleasepast

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Ndio ivyo mkuu me mwenyewe zamani nilikuwa nawahurumia lakini baada ya kuwajua vizuri yani ata nikute mwanamke na katoto anaiombe ata 100 simpi kwanza lazima anakua ameshamtukana sana mwanamume huko aliko zalishwa kwaio ni jukumu lake kurudi huko akaonyeshe nidhamu kwanza
  7. Pleasepast

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Una matatizo ya akili wewe yani akili yako inajua wanaokufa ni wanaume tu si ndio bila shaka wewe ni mchawi na ndio maana jamaa amekupiga chini hufai kabisa unawaza wanaume wafe tu na inaonekana wewe ni mjita au una chembe ya ujita kichwani mwako.
  8. Pleasepast

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Maneno ya mkoswaji hayo wewe kaa huko ushakua single mother pole yako 🤣🤣🤣
  9. Pleasepast

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Safi kabisa nafrai kusikia wanawake wakiteseka maana ni viumbe vya ajabu sana hasa hasa ma single mother ni viumbe vya hovyo sana vijana hakuna kuoa ni mwendo wa kupiga na kusepa ukioa inakula kwako.
  10. Pleasepast

    Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

    Sio sahihi kabisa kwasababu mwisho wake unakuaga mbaya sana mmoja wao akizidisha kwa mfano kuna mwanamke aliwai kuachana na mumewe sasa kwenye kujibizana aliwai kumtukana mumewe ambaye ni mlinzi kwamba ww huna lolote bwege tu nenda kalale getin uko aisee io kauli ilimuuma sana uyo jamaa kwaio...
  11. Pleasepast

    Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Jamii Forum bana inaonekana ni mtandao wa wambea wambea yani kila mtu akileta thread basi ujue kaambiwa na mtu uo kama sio umbea ni nini 😂😂😂 ifike hatua watu muwe wawazi sema tu ni wewe ndio umeliwa na Baba mkwe yaishe
  12. Pleasepast

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Fanya unavyotaka wewe mwenyewe lakini siku ukirudi hapa unalia lia hatukupokei kwasababu umesha nasa tayari ushauri wenyewe unaomba lakini hapo hapo tena unajipa majibu ya kukufariji wewe mwenyewe ila shauri yako kila la kheri. 😂
  13. Pleasepast

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Umesema ukweli mtupu ata mimi naona hivyo hivyo kwasababu mwanaume aliye kamilika na akili zake timamu anaanzaje kuoa limwanamke limeshindikana huko lilipo toka
  14. Pleasepast

    Mke ana VVU mume hana. Naomba ushauri

    Nyie ni miongoni mwa ndugu wajinga wajinga kwanini mnaingilia faragha za watu wazima yaani sipendi madungu ya dizaini yenu
  15. Pleasepast

    Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Oya mbona details zote kama vile mke wako namjua 😂
  16. Pleasepast

    Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    😂😂😂 Pole sana inaonekana wewe ulishawai kulea mtoto sio wako sasa io Trauma ime athiri mfumo wako wa kufikiri usizani kila jambo la hivi eti anakua sio mkuu alafu DNA nilitumia ya asili kabisa kwaio ondoa shaka
  17. Pleasepast

    Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Umepotea pakubwa sana sema ni vile hujaelewa swali ningependa ujibu swali husika na sio kuongea kuhusu mambo ya kufikiria kwasababu hakuna unacho kijua ndugu mtoto unazani angekua sio wangu mwanamke angehangaika ata kunitafuta anipe io taarifa ya vitisho sasa ila jua tu mtoto ni wangu ila...
  18. Pleasepast

    Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Mkuu kwani unazani ni lazima awe amefanyiwa jambo basi ni akili zao tu
Back
Top Bottom