Search results

  1. Nedd Ludd

    Kifo cha Adolf Hitler

    Hiki kifo kina utata sana. Ila mwamba namkubali sana. Alikuwa ni Mzalendo wa kweli katika Taifa lake.
  2. Nedd Ludd

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Naamini MUNGU yupo, lakini huko makanisani, mhhh!! Michango kila kukicha, mahubiri mengi mifano yake ni suala la kujitoa kifedha. Matangazo ya michango ni mengi kuliko mahubiri. Mimi ni kanisa sasa nasali mwenyewe na MUNGU aliye sirini ananisikia Amen![emoji120]
  3. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Nawakumbusha tu, leo ni siku ya mwisho. Sijui ofisi zipo wazi [emoji28][emoji28]
  4. Nedd Ludd

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Kwa mimi niliyezaliwa 2002, sikupata nafasi ya kuona awamu nyingine nikiwa kidogo najielewa kama awamu ya Tano. Hivyo, JPM alipendwa zaidi kwa awamu yake ukilinganisha na awamu hii.
  5. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Kwa hiyo semina au mafunzo ya kazi gani?
  6. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Nawakumbusha tu, leo ni tarehe 26/04/2024, Ijumaa ni Union Day!! Kesho tarehe 27/04/2024, Jumamosi ni mwisho wa kupeleka maombi.
  7. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Kwani makada wenyewe humu wanasemaje [emoji23][emoji23]
  8. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    [emoji28][emoji28] nikajua kesho j mosi [emoji28]
  9. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Limekaa kijanja kijanja sana, hata mimi nilipo liona ikabidi nitafute vyanzo vya kuaminika lakini sikuona, lakini ni ukweli lipo. Hii nchi [emoji28][emoji28]🫡[emoji119]
  10. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    [emoji28][emoji28] wenye mambo mengi kazi ipo na 200 haikosekani [emoji28]
  11. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Unaweza kuandaa tu, maana mwisho kesho
  12. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Ni la muda [emoji28][emoji28]
  13. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Ni hizo passport unaziwekaje?
  14. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Ndio maana nikaweka hapa tupate uhakika. Mwenye kukujua atujuze.
  15. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Sio kwamba sitaki waombe, ni maoni yangu tu wangeangaliwa wasio na ajira.
  16. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Sema ndio hivyo, binadamu tumeumbwa na umimi!
  17. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Ifike wakati hizi nafasi wapewe wasio na ajira mtaani, kwani wapo wengi sana. Bara na nyie mnapata chochote kitu.
  18. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Ungependa zaidi hiyo njia wangeiepuka, maana ni wazi Rushwa zitatengenezwa huko. Nitapata uhakika gani kama kweli Mtendaji ataipeleka barua halmashauri [emoji848][emoji848]
  19. Nedd Ludd

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Hatari sana [emoji3064]
Back
Top Bottom