Search results

  1. Ricky Blair

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Ohooo basi ngoja nikuache coz naona nadili na speacial case
  2. Ricky Blair

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Unaelewa hata ukichoandika mkuu? Schengen area ni eneo la Europe ambapo nchi 27 unaweza kutembea visa free na Poland moja wapo. Russia au Romania hazipo kw Schengen sasa unaposema Poland imefukuzwa si kweli? Wanaweza kujitoa baada ya negotiations nyingi na kura km UK ilipotoka EU. Soma vizuri...
  3. Ricky Blair

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Me nilienda kuomba visa Poland ya tourism tu; nilinyimwa hata ckurudi kuhangaika tena. Kwa ambao wanawasema wenzao kw oh wajinga cjui kulilia visa; sikilizeni; wame apply scholarship na wamepata; km walikuwa hawataki kuwapa scholarship waafrika wangesema; pia kumbuka hawa watu wa Ulaya, Marekani...
  4. Ricky Blair

    Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

    Kwani ukipata mchongo au kikazi utachagua? Sio kila nchi unaenda kwa tourism mkuu
  5. Ricky Blair

    Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

    Hivi inakuwaje Tanzania tunapitwa na nchi hata Kenya na zingine kibao ndogo na maskini zaidi yetu kuwa na ubalozi wa nchi nyingi ila sisi mpk leo ubalozi wa Portugal hamna, nchi ya maana kama Australia hamna, Ukraine hamna, Argentina hamna, Israel hamna. Tuanze kuingia gharama kwenda nchi za...
  6. Ricky Blair

    Mapigano hatari kwenye Series zote

    Bado sijawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa wawili.
  7. Ricky Blair

    Makampuni na Serikali muajiri watu kutokana na uwezo wao na sio jinsia

    Ifike mahala watu na makampuni na serikali muajiri watu kutokana na uwezo sio jinsia tu ya kuweka wanawake sekta fulani 50/50. Sidhan kama kuna ubaya wowote watu wa aina yoyote kufanya kazi sehemu fulani; ila iendane na sifa. Kama umesoma udaktari na ukapata asilimia 60% wanawake poa, unesi...
  8. Ricky Blair

    I need Macbook air 2020 13 inch covers

    Zitakuwepo TZ tayari?? Ctak kusubiria mwezi kutoka China?
  9. Ricky Blair

    Organic Black Kidney Beans au maharage meusi?

    Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
  10. Ricky Blair

    I need Macbook air 2020 13 inch covers

    Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha kama hii sio zile plain za rangi moja kama Red cjui Blue au white nataka picha picha kama hizi pamoja na keyboard zake. Ambaye anauza aweke hapa na bei zake pamoja na acc zake za Insta au namba zake za...
  11. Ricky Blair

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Sio wangu; namuonaga tu mtaani na anatia huruma
  12. Ricky Blair

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Wewe hujanielewa; nimekwambia anaonekana yupo kw maumivu makali na anaonekana mgonjwa; kwani hata euthansia c wanapewa wagonjwa ambao wapo kw mateso na maumivu makali ambao hawawezi kupona ila wanawasaidia kuondoka vizuri. Wapi nimesema nataka kumuua km unavyodhani? Kila kiumbe kitakufa na mbwa...
  13. Ricky Blair

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Hamna wa mtaani tu
  14. Ricky Blair

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata kutembea kwa shida sasa na iyo ngozi ndo kabisa.
  15. Ricky Blair

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Payoneer huwezi kutoa chini ya 50$ and mind you fee ya kutoa pesa chini ya 500$ fees is 15$
  16. Ricky Blair

    Kutengeneza TV

    Namba?
Back
Top Bottom