Siwezi kuchoma mzee me sio mtu wa markerting kufundisha mtu namna ya kumcomvice mteja hiyo kitu hata kwenye journalism sijasoma niko nayo tu so chil broh😎
Habar za wakat huu wakuu,
Kuna rafiki yangu alinipa connection ya Duka la dadaake wakati nimemaliza chuo UDSM BA in Journalism, tufanye kazi pale unajua wakat wa kujitafuta tena kazi yenyewe haikuwa ikihisisha mshahara ni wew kupamban kutafuta wateja wako nd mshahara wako.
Dukani unapewa bei...
Habari wakuu,
Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.
Tumeshusha tablet zenye keyboard na zisizo na keyboard kwajili ya watoto,watu wazima na ofisi.
Bei za simu...
Boss tunauza simu mpya na used mteja atakapo lipia fedha ya simu mpya tunampatia mpya akilipia used tunampa used hatuhusiki na mchakachuo yapo maduka yanayouza copy na bei zake ni tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.