Search results

  1. Ms R

    Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    ngoja aje aseme mwenyewe,, kumbe humu mkichat sana mnafungishwa ndoa😆😆
  2. Ms R

    Msiwasikilize kataa ndoa, they are wrong, two are better than one...

    so,, when are you going to marry?,na je tusubiri uzi umu au unatafuta mtaani kwenu?
  3. Ms R

    Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    soon navaa iko kiatu cha 30,,, uuuuuuuiiiiiiiiiiii
  4. Ms R

    Wimbo wa bongo flavor ambao ni bora kwako kwa muda wote

    mapenz ya mkataba mpaka kufa yamekwishaaaa,,, nataman kua single,ila ....... huo bwana 😁
  5. Ms R

    Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    fanya ivo aseee,,coz naandaa uzi mnene apa wa kutafta mume hum😂😂
  6. Ms R

    Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    Hakika ndo namskia kwako😫
  7. Ms R

    Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    😂😂😂😂😂 Hakika wewe alokutuma kwangu aseee kakutuma mtu sahihi kabisa 🙌🏾🙌🏾
  8. Ms R

    Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Naomba urud ukatag io mesej nlosema napenda pesa lakin unanini wewe😂😂😂😂😂
  9. Ms R

    Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    nyie wenye hela naskia mna magonjwa yenu ya kitajiri😌,,kansa, pressure, kisukari.......
  10. Ms R

    Hata mbwa anamjali anayemjali

    🤝🏾 Senkyuu
  11. Ms R

    Sina kazi nashinda na simu muda wote

    tuko pamoja
  12. Ms R

    Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    mashangazi wa saivi magonjwa kibao mnakufa mapema,,mnaacha wagane bado wadogo sana.
  13. Ms R

    DOKEZO Mtoto wa Miaka 10 ameajiriwa kazi za nyumbani Kimara Stop Over, ananyanyaswa sana, Waziri Gwajima msaada wako unahitajika

    duuuh,,apo kingine tunaweza sema tumtoe pale yule mtoto kumbe mazingira aliyotoka ndo magumu zaidi ya hayo kwa mama Nancy,coz miaka 10 ni mdogo sana jamani,lazima kuna mengi nyuma ya pazia,,sawa atatolewa pale je anaweza pata msaada wa kudumu !?
  14. Ms R

    DOKEZO Mtoto wa Miaka 10 ameajiriwa kazi za nyumbani Kimara Stop Over, ananyanyaswa sana, Waziri Gwajima msaada wako unahitajika

    yani uyo mama nitamchukua awe house girl wangu kisha nimnyanyase kama uyo mtoto
Back
Top Bottom