Labda huyu mlalamishi hajui kuwa kwa sasa primary level ni mwisho darasa la sita. Hivyo si lazima adjustment ifanyike ili vile vya Hadi darasa la Saba view covered mwisho darasa la sita.
Hapo unatukaribisha kujadili ama kubishana?
Maana mada yako kwenye heading tu unaonyesha UPO kishari zaidi. Anzia kwenye jina la unayetaka tujadili maandishi yake.
Tenda wema nenda zako usingoje shukrani.
Kama Rais Samia alifanya alichoamini ni sahihi, naamini ana amani hata akitukanwa mara elfu na aliyemsaidia ingali sasa anamtukana.
Vivyo hivyo kwa huyo mbunge mzanzibari.
Nakusindikiza na nukuu ifuatayo.
Luka 14:12
[12]Akamwambia na yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.