Mafisi wameona ni mtoto wa kike wameanza kushoboka [emoji1787][emoji1787]pambana binti no retreat no surrender....
Ukiwa kipindi cha njaa na shida usitafute kaz za ofisii za kuning'iniza miguu tafuta kazi za hali yako jiegeshe kwa mama ntilie wawili mmoja piga parttime asbh had mchana jion kuna...
Sio kilaini kaka nayeye anastruggle guardiola ni kocha mjanja mjanja na muoga ndo maana kaifanya epl ionekane ligi ya wakulima na kufny mageuzi si ajabu akawez kuchukua kombe hata mara6 mfululizo.
Guardiola anajua kunyakua haraka haraka wachezaji wanaoendan na falsafa zake alafu anakuwa...
Liverkuku acheni kula kande kwenye safar ndefu bus linasimama watu wachimbe dawa nyie mnaenda haja kubwa...kuchimba dawa porini ni kwenda kukojoa tu hapo nyuma ya gar tukutane mwakani ndugu zetu
#coyg
Ukitaka wachina wakupelekeshe kuwa mnyonge jamaa wanaubabe fln wenye uoga ukitaka uwaweze fanya kaz yao jielewe na usiwe mnyonge hasa unapokuwa karbu na waafrica wenzako ukiwa pekeyako na wao wapo wengi wanawez hata kukuua
Sasa dada umeumia hivi na umeomvwa msaada je sisi wanaume tunavyohangaika na shida zenu hadi kuwanunulia assets kesho mnakuja kuona aliyekununulia vocha niwamaana kuliko aliyekununulia simu. Jikaze tu bhana usonge mbele mi nilimsaidia dada mmoja nauli ya kwenda kufanya interview kwenye hospitali...
Arsenal subiri msimu ujao labda labda ushinde4 kila mechi yaan kwa mechi 6 uwe na goli 18+ sabb sisi gunnerz tayar tupo juu yako kwa goli8 na tuna game7 hapo tunasure ya kuvuna goli14
Ukitaka kamari hasa betting ikuendeshe na ikuzabe vibao vya maana iendekeze kupitiliza..yaan jitu kila siku linataka tu kubetkubet kubet hakuna lingn la maan atawaza kweli pesa ya muhindi tamu lakini bet sio jambo la kuendekeza utajikuta kwenye nyakati ngumu na frustrations za kufa mtu daily...
Hii ni kauli ya mama mzazi kwetu vijana wake aneshatuhubiria zaidi ya mara2 " Wanangu mwanaume ndie mwenye mamlaka juu ya familia yake jitahidi ujiepushe kuoa mwanamke mwenye mtoto ikitokea bas msifunge ndoa muishi tu sabb mpo wawili tayari"
Hayo ni maneno ya mama wa kisukuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.