Nilinua dawa ya kupaka nikapaka ile Hali ikaisha ndani ya siku tatu now niko ok niliambiwa ni infections ndogo tu kulingana na kazi ninazofanya Niko kiwandani so kemikali ni nyingi sana
Nimefanya ivo lakini bado Navaa viatu Mda mrefu juli gaan na mazingira ya kazi ila iyo haruf Inanikera sana kuna mtu kanambia nipake sabuni inayoitwa be you ila sjaipata madukani kariakoo msaada kwa anaejua zinakopatikana bx
Mi Naomba kuuliza jamani inakuwaje kama umeishafanya utambulisho na mahari ishalipwa mmeishi wote kwa Mda labda wa mwaka mmoja izo hatua za pete ya u chumba sjui sends off nd hakuna tena! Au hata kama mliishi wote unaweza kuzifanya izo hatua pia?
Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada tafadhali
Jaman msaada mimi nje ya jicho upande wa juu na wa chini wa kope palivimba siku mbili ya tatu pakakauka kama metembelewa na narrow bee fly ila sina uhakika kama nd huyo alimitembea naogopa au niende kituo cha afya wakanielekeze nin shida mpk najiogopa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.