Search results

  1. Walker Water

    Je, haya ndiyo yanaweza kuwa maswali magumu na majibu mepesi?

    Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi. 1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho. 2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu. 3. Amenileta kufanya nini hapa duniani?; Kufanya kazi yake ya kipekee ambayo hakuna mwingine...
  2. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani. Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba hatma yake yote awapo hapa duniani. Kazi ya roho ni kutia nguvu tu vilivyopo kwenye nafsi ili mtu...
  3. Walker Water

    Ushauri kwa wakubwa wa nchi

    Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana. Katika nyakati hizi ili kutenda kwa akili na ufahamu na hekima, nyakati hizi zinahitaji, kwanza, kuchoma baadhi...
  4. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza ni ufalme wa nuru na falme ya pili ni ufalme wa giza. Falme zote hizi zina muundo na uongozi na...
  5. Walker Water

    Kama Tanzania ndiyo ingekuwa nchi ya Izraeli, mgawanyo wa makabila ungekuwa kama ufuatao;

    1.SIMEONI.Hawa wangekuwa "WAKURIA"."Panga zao ni silaha za jeuri.Ghadhabu yao na ilaaniwe,maana ilikuwa kali,Na hasira yao,maana ilikuwa haina huruma"'. 2.REUBENI.Hawa wangekuwa "WAMERU"."Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu. Umeruka mpaka kama maji,basi USIWE na ukuu".Hawa ilikuwa bado...
  6. Walker Water

    Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

    Nijuavyo mimi ni kuwa,Mungu si jina bali ni cheo cha juu sana kuliko vyote duniani na ulimwengu wote.Yaani ikitokea chochote/mtu yeyote akaweza kukutimizia mahitaji yako yote pasipo kuzuiliwa na mtu yeyote au kitu chochote kile na pasipo kufungwa na muda,basi kitu hicho au mtu huyo unaweza...
  7. Walker Water

    Kifo cha mzazi wako wa kiume kinavyoweza kupandisha au kushusha hatma yako ya maisha wewe mtoto wa kiume

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa "baba" ndiyo cheo cha juu sana katika familia.Cheo hiki kinaweza kurithiwa na mtoto wa kiume (halali wa baba) kabla baba yake hajafariki,lakini kamwe hawezi kuapishwa "kiroho" kuchukua cheo hicho mpaka pale baba yake anapofariki. Ninachotaka kusema ni kuwa, mtoto...
  8. Walker Water

    PENDEKEZO: Uanzishwe utaratibu wa Rais kueleza ndoto anazoota kila siku

    Moja kwa moja kwenye mada. Tunapaswa kujua kuwa hakuna tukio kubwa linaloipata nchi yoyote bila mkuu wake kuonyeswa mapema ndotoni. Wengi wenu nadhani mlishawahi kusoma au kusikia kisa cha Yusufu na mfalme wa misri (Farao). Kwa ufupi ni kwamba Farao aliota ndoto na akashindwa kuitafsiri na...
  9. Walker Water

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Nawasalimu wote katika ukurasa huu pendwa. Watu wengi wamekuwa wakiteseka kwa kuondokewa na wapendwa wao kwa ghafla pasipo kujua kuwa tayari walishapewa taarifa sema walishindwa kuzitafsiri. Leo naomba nikusaidie kwa uchache kutambua dalili zitakazo kusaidia kujua mtu uliyenaye atafariki muda...
  10. Walker Water

    Kumekucha, hatimaye lango la mwisho limefunguliwa rasmi

    Natumaini wote ni wazima wadau wa huku. Lengo la kuleta uzi huu kwenu ni kutoa taarifa ya furaha na kuwaamsha usingizini kuwa ule msimu wa mwisho wa dunia tayari umeshafunguliwa na lango lake lipo wazi. Tuanze, miaka 2000 iliyopita waliokuwepo walishuhudia lango la pili kutoka mwisho...
  11. Walker Water

    Muundo wa Binadamu na sifa zake ili kufikia hatma yako

    Ili uweze kujua kusudi lako na hatimaye kufikia hatma yako ni muhimu sana kujua muundo wako wewe kama binadamu. Binadamu anaundwa na vitu vitatu ambavyo ni;ROHO,NAFSI NA MWILI. ROHO,hii ndiyo inayokupa uhai na ipo ndani ya damu yako. Kumbuka damu ya mtoto aliyeko tumboni na mpaka kuzaliwa ni...
  12. Walker Water

    Nauza matairi ya gari na ringi zake

    Bei, la Toyota double kibini tsh 75000, hizi nyingine mbili ni tsh 50000.
  13. Walker Water

    Ombi kwa NACTE: Tunaomba mtuongeze japo siku tano za kufanya maombi ya Shahada

    Dirisha la tatu na mwisho kwa mwaka huu la kutuma maombi ya shahada ya kwanza ndiyo limefungwa jana. Tunaomba NACTE watuangalie kwa jicho la huruma wengine, tunaomba watuongezee japo siku tano au hata wafungue dirisha la usajili kwa siku mbili za mwanzoni mwa mwezi wa kumi.Naomba hivi kutokana...
  14. Walker Water

    SoC02 Elimu maarifa itakayotuweka huru

    Katika jamii na taifa lolote lile haipingiki kuwa elimu inasimama kama moyo au injili.Hili linajidhihirisha wazi kutokana na uwezo wa elimu kumtengeneza mtu kihaiba,kijamii,kihisia na kimaono.Lakini elimu hii pasipo kugeuka kuwa maarifa inakosa maana na kuwa mzigo mzito kwa mtu binafsi,jamii na...
Back
Top Bottom