Search results

  1. Walker Water

    Je, haya ndiyo yanaweza kuwa maswali magumu na majibu mepesi?

    Haujasoma vizuri,rejea swali namba sita.
  2. Walker Water

    Je, haya ndiyo yanaweza kuwa maswali magumu na majibu mepesi?

    Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi. 1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho. 2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu. 3. Amenileta kufanya nini hapa duniani?; Kufanya kazi yake ya kipekee ambayo hakuna mwingine...
  3. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Bado anakupenda na anakuhitaji pia ni wewe tu ndiyo ulimtelekeza. Alafu embu tafuta uzi wangu wa "wa dalili za mtu anayekaribia kufa" soma alafu nitakuja kukushauri kitu cha maana.
  4. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Pole sana ndugu,unashida gani kubwa inayokusumbua?
  5. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ok, Mungu anisaidie. Kama alivyo saidia Mr 7seven hapo chini kwa usahihi kwa msaada wa Mungu, naomba niongezee kidogo. Kuwa shule maana yake ni kuwa kwenye maandalizi ya kuingia hatua nyingine ya juu zaidi. Kukaribishwa kwenye darasa la somo la kiswahili, maana yake Mungu anakutaarifu kuwa...
  6. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Usihofu Mungu ni mwema. Mr 7seven naomba mpe huyu mtu muongozo wa maombi ya kukomboa nafsi yake maana naona hapo ndipo penye mzizi wa tatizo. Tulia utapewa muongozo.
  7. Walker Water

  8. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hakuna hata haja ya kutaja jina la huduma ya mtu. Ngoja nifuatilie kidogo alafu nitakujibu mapema maana kukosa amani katika ulimwengu wa kiroho husababishwa na mambo mengi.
  9. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amen,na asante sana kwa ushuhuda wako mzuri. Sifa na utukufu apewe Mwenyenzi Mungu.
  10. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Asante sana mpendwa,nipo naona mnapambana vizuri mkishirikiana na Mr 7Seven. Ikitokea dharura tupo pamoja.
  11. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ok,nimeomba Mungu nikusaidie hii ya kwanza. Kuota upo kwenye hiyo shule maana yake kuna maandalizi ya kuingia upako mpya na ulishapewa taaifa huko nyuma kuwa unahitajika kwenye maandalizi hayo lakini hukuelewa na yameshakaribia kwako. Shule usiyoijua maana yake ni maandalizi mapya kwako.kutamani...
  12. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hizi ni nyakati za mwisho ndugu yangu,unaweza kuona upako wako umekata kabisa ukashangaa kumbe ni ujumbe unapewa kuwa uachane na huo wa zamani ili upewe mpya utakao kufungua milango yako yote ya rohoni
  13. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Naomba msaidie huyo mtu hapo chini niliyekuelekeza.
Back
Top Bottom