Search results

  1. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University. nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla. Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi. Natanguliza shukrani...
  2. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
  3. lerman3x

    Natafuta kazi mimi ni Mkemia.

    Mimi ni kijana wa miaka 24 ni muhitimu wa shahada ya ukemia mwaka 2021 katika chuo kikuu cha Dodoma . Ninahitaji ajira yoyote ya halali katika viwanda au kampuni yoyote inayohusiana na ukemia. Yoyote mwenye kunisaidia anaweza kuniPM tafadhali! Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom