wazee wa aziwea ndo hawa…alafu unawezakuta wanafanya hivyo mabonye tu, kuja kushtuka bogi lipo Kihangaiko linaapa..
Halafu hilo la mwezi wa saba, likawa la oljoro 😀
Kila mwaka kozi zinapigwa, na kila mwaka watu wanavaa bakabaka…
Ila mwenye connection ndo anajua kuwa kuna kozi inaendelea…kama huna, unaweza stukia watu wanaanapa tu 😀
Ndo mana ukaambiwa JW halitabiliki. Unaweza kuta hilo limewekwa ili watu wajisahau, wapunguze kupiga simu kwa mimbanga yao kwa kuhisi washakosa…
Alafu unakuta jiiii, kuja kushtuka watu wanakula kiapo cha utumishi, wanaambiwa wakae mbali na siasa… 😅😅
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.