Kiukweli hata sasa Mungu anasema na wewe kupitia KWELI hizi unazosoma humu Jf
Aepm na mie na wengine wakitype ukweli basi ujue ni Mungu anasema kupitia wao. Unanakili??
Hahahaaaaah! 😆. Seee! Nyie jamaa mnaamini sana katika kutokuwepo (kifo) na ndicho mnakipigania siku zote.
Huwa inaniacha na maswali hivi ni kwa namna gani mtu anakuwa na utayari na utamani wa kifo kwa kiwango hicho? Inashangaza sana.
Ndiyo maana wanadamu tunaaswa kuwa kamwe tusijidhanie kujua...
Hakika, akili wazo lenye akili ndio tunachotafuta na ndicho sie wenyewe tulicho.
Mkana wazo la Mungu mara nyingi kama sio zote hukana pia yeye kuwepo. Hukana kila kitu, atakana uhakika, atakana muda, atakana akili, atakana upendo. Ni watu wakumbatiao na kupendelea kutokuwepo kiasi kwamba mwisho...
I am no preacher; I am a researcher. But I know the code, and that code is the Word of God.
"Thus saith the Lord GOD unto these bones; Behold, I will cause breath to enter into you, and ye shall live" (1). "Whomever GOD wills to guide, He renders his chest wide open to Submission. And whomever...
Mimi siyo mhubiri, ni mtafiti. Lakini naijua kanuni, na kanuni hiyo rafiki yangu, ni Neno la Mungu.
Bwana MUNGU aiambia mifupa hivi; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. (1)
"Mwenyezi Mungu Amtakaye kumwongoza hukifungua kifua chake kwa kunyenyekea. Na amtakaye kumpoteza hukifanya...
Homohabils, nimejua kuwa kutumia zana kulitusaidia sana kuendelea kama watu.
Photosynthesis nikajua kwamba fizikia ya vifurushi inahusika kuifanya fotoni ya mwanga kujongea katika kitivo cha kati cha michakato 😆😆😆😆😆😆😆😆. Ninywe maji kwanza asee hiyo sentensi hapana.
Mmmh ukosoma somo moja tu...
Hahahaaaah we jamaa, asee una kipaji cha kutatua tatizo comprehensivelly 😆😆
Hakika bro.
Itakuwa kama sehemu yao ya kulipa kwa jamii isiyohusisha kodi wala riba.
Natumaini gharama za uendeshaji hazitakuwa kubwa maana watu wa kujitolea watakuwa wengi na wanaamini katika dini zao.
Ooooh! Is it like making a mobile clinic train!! Or an ambulance train? Woow! This is new to most of us.
Ill read this, because the maths is mind bogling🤯.
New ideas everyday. The Tz we want.
Ni hasara,
Nakubaliana na hili, yote yafanywe kama sigara.
Na kama ambavyo hairuhisiwi kufungua baa asubuhi, iwe hivyohivyo na matangazo pamoja na michezo ya kamari. Matangazo kwa SMS pia yasiwepo kama tu ambavyo hakuna bia inatangazwa kwa meseji kila dakika 'kunywa bia hii ulewe mpaka asubuhi'
Na kama tungetambua kuwa ujinga ni kosa kubwa wakati upumbavu ni dhambi kabisa tutapiga hatua....... tusikie.
Hili nnaunga mkono sana, tusirudierudie mambo tupate muda zaidi tujifunze mambo anuwai.
Adui ujinga ndiye aliyetoa kosababishi cha sie kuendelea kuteseka sababu ya ujinga yaaani daaaah
Anhaaa, ni kitu kinafanya kazi kabisa eeeeh!
Tafiti na maendeleo (r&d) kwa maendeleo ya fursa za nyuki.
NIMRI wahusike, watafiti tupo tu hatuna kazi hapa. Muajiri wanamaabara, scientists, microbiologists, wafamasia, chemists tuwekeze tafiti za tiba za ndani camooon!
Maeneo ambayo hayajaendelezwa ndiyo wakati mzuri sasa wa kuyapangilia......
Ndo matumizi mazuri ua akili kuona mbele.
Muhimu sana, maana wabongo kuuziana mara nnenne hawachelewi😆😆
TUtaonekana nchi yenye akili sana tukiweza hili
Wakifanya hivi watabalansi shule kubwa na mambo ya mtaani.
Wote wana nafasi. Elimu ya nadharia na ya walio kwa ground/field. Tuking'angania sana wa mtaani ndio kila siku itakuwa kufundisha ujanjaujanja tu badala ya sayansi ya biashara.
Mmmmmmh!!! Hiii mazee sasa msingi atautoa wapi? Au ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.