Search results

  1. Bangida

    Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

    Sasa kama vocha ya buku tayari masimango utaweza kumtoa lunch kweli?
  2. Bangida

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Just thinking out loud, wouldnt it be fair kama pia watotot wa kiume wangekua celibate pia kwenye hizo tuzo? Because, kama wewe n mzazi una mtoto wako wa kike, its a great honor kuona binti yako anajitunza, but je itakua furaha kwako pia ukiona after kujitunza koote anaenda kuolewa na kamsela...
  3. Bangida

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Just thinking out loud, wouldnt it be fair kama pia watotot wa kiume wangekua celibate pia kwenye hizo tuzo? Because, kama wewe n mzazi una mtoto wako wa kike, its a great honor kuona binti yako anajitunza, but je itakua furaha kwako pia ukiona after kujitunza koote anaenda kuolewa na kamsela...
  4. Bangida

    Barabara ya kutoka Busweli hadi Nyamhongolo

    Unatoka nyamhongolo, unafika machinjioni, unachapa kulia, moja kwa moja hadi buswelu, then unakata kushoto unatokea kiseke unafika sabasaba unachagua uende airport au urudi mjini kati. Last time nmepita ni kama a month ago ni lami iliyonyooka tena fyade kabisa. Sikwenda zaidi ya hyo route
  5. Bangida

    Binti wa mauzo

    Yote heri. Shida n kwamba hii accpunt hua imekaa kidalali dalali.. sasa kila mtu awe makini
  6. Bangida

    Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

    Mwanya unaitwaje? Kisogo kinaitwaje?
  7. Bangida

    Ukweli mchungu

    Watanzania hatusongi mbele due to hii mentality ya ki stupidi stupidi ya kuamini kua watu lazma wateseke as if kuna certificates zinatolewa kwa mtesekaji hodari. Mtoto anapanda basi ili apate exposure na misingi mbali mbali kwa ajili ya dunia inayoendelea. Kujua kuuza pipi 120 from 100 haimfanyi...
  8. Bangida

    Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Fungua shoe shine na shoe repair na kuosha viatu. Ma don watavileta na kuviacha. At the same time unaweka hyo maji. Miez 3 baadae unaweka genge kali la kuuza matunda na mboga za anasa kama vile ma "epo" na mabrokoli sijui yale.. Unaongeza na bango la "ushauri wa afya na kisukari na presha bure"
  9. Bangida

    Ananilazimisha tufunge ndoa na huku kitandani hayuko sawa. Tutaishije huko ndani?

    Ni mwamba mmoja mwenye heshma zake humu ndani alisema ana matraqo malaini yanayotingishika kumbe ni fake account akajichanganya na kujiexpose kwa real account yake.. Kama ni mwenyeji humu ndani lazma story yake utaijua tu. Sema kwa sababu za ki itifaki siez kumtaja
  10. Bangida

    Ananilazimisha tufunge ndoa na huku kitandani hayuko sawa. Tutaishije huko ndani?

    Ndo maana hua nawashangaa watu wanaojipost ovyo mtandaoni. Waeza kuta hyo foto hapo juu ni manzi alijiposti huko fesibuku, sasa hv jamii forum anaonekana hagongwi vizuri. Unakuta kuna mtu anamfaham mtaani kwao na yuko humu JF tayari anaanza kumuona wa ajabu na haridhishwi. Lakini kama ndio joji...
  11. Bangida

    Utumwa wa kazi za Serikali unavyowatesa watumishi wa umma

    Kuna mzee mmoja nilikutana nae kipindi nafanya kazi Serikalini, akaniambia, mwanangu, mshahara wa Serikali umewekwa kwa kiasi hicho makusudi ili ukuwezeshe ku survive hadi ifikapo mwisho wa mwezi. This is the way Serikali inahakikisha hauondoki kwao ili waendelee kukunyonya thru kodi n.k na pia...
  12. Bangida

    I wish I knew that am a handsome boy

    kuwa makini kijana.. mawese yanaacha madoa.
  13. Bangida

    Je, kwa hali ya sasa kuna maana ipi ya kuwa mbunge katika bunge lilojaa chama kimoja nje ya kusifia kila kitu na kufumbia macho maovu?

    Sometime hua naona wabunge wana mdudu kwenye ubongo. Picture this, bunge lote ni chama kimoja, hapo hapo wanakutana sehem moja a.k.a bungeni, alaf on top of aaaallll that bado wanasifiana humo humo. Ni kama uishi na mama yako na ndugu zako, then kila siku unaamka na kuanza kuwaambia "huyu ni...
  14. Bangida

    Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

    Malovee, miaka 2, uchumba miaka 3. After that time nlikaa nkasema wazi kua hata nkipata mtu mwingine hawez kusonga ugali mgumu kama huyu, nkaenda kupeleka taarifa kwa wazee..
  15. Bangida

    Unatokaje kwenye huu mtego?

    Sasa chakula ni kitu ya kuwaza? Unawapa tu, hata wakila chote. Riziki ni kugawana, we umepata ye hajapata. Ukimgawia akisema ahsante it goes very far.
  16. Bangida

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Bond inakua kubwa zaidi between people pale ambapo hawaonani kwa muda mrefu. Mimi naondoka saa kumi na moja narudi saa sita kasoro. Nkifika mda huo mwenzangu alishalala usingizi ukapungua, ataamka, tutapiga stori mbili tatu, ntazima hadi next day. Lakini at leasy once per week nawahi au nabaki...
  17. Bangida

    Video: Itakuwa vyumba vimejaa

    Akiiona Maghayo atawasumbua sana wale nduguze katika imani.
Back
Top Bottom