kwa namba 1 ikitokea mwanahisa anataka kujiondoa katika kampuni yenye zaidi ya miaka say 7 na yuko tayari kupoteza/kuziacha hisa zake utaratibu unakuwaje? Bexb
hiyo unayoiita busara ndiyo ilitumika sana kupoka wenye uwezo mdogo viwanja au nyumba zao zilizoko kwenye 'prime areas' kwa kisingizio cha kulipa fidia isiyokidhi.
kwa mujibu wa mafundisho ya UISLAM huyo dada ana makosa kwa kuwa mwanamke haruhusiwi kukaa na mwanaume bila ya uwepo wa jamaa yake na mwanamke kinyume na hapo huyo mbeba ndom na mkongo yuko sahihi maana kaalikwa na mzinifu mwenzie.
Hongera sana Dkt. Gwajima D kwa kulitolea ufafanuzi suala hili ingawa taarifa ya polisi imetoka kwa kuchelewa inaweza kutengeneza dhana kuwa ilitolewa baada ya kusomwa hapa JamiiForums.
ushautua huo mzigo wa misumari kwa gharama ya 400,000/= kwanini unataka kuurudisha na viashiria vyote vya hatari ushaviona? tumia akili usitumie hisia.
tujifunze kutovitia hila vitu ambavyo aidha hatuvipendi kwa utashi wetu binafsi au hatuwezi kumudu kuvigharamia kutokana na kipato au kwa kukosa 'connection'.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.