Search results

  1. Mundele Makusu

    SOMA HII

    Amen
  2. Mundele Makusu

    Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko.

    Kuna nyuzi nyiiingi huku zimeelezea kuhusu UTT hivo search ule madini meeng
  3. Mundele Makusu

    Saba wafariki kwenye Ajali Dumila, Morogoro

    Mungu awatie nguvu ndugu wote walioguswa na msiba huo
  4. Mundele Makusu

    4G Mifi/Wingle. For sale! WIFI.

    Huu mzigo upooo Bado
  5. Mundele Makusu

    Boti sita zimezama huku wavuvi hawajulikani walipo

    Mungu awafanyie wepesi wao na familia zao
  6. Mundele Makusu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Lala Ukoo Mary anapigwa Dana Dana Sana tu sembuse ww
  7. Mundele Makusu

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    ELewa nachokisemea....Kibu katoka mbeya city Yaani kama ww apo uibuke tu ukazibe pengo la chama
  8. Mundele Makusu

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Muda unaponya Muda unathibitisha mengi maishani...Tuutumie vizuri kwa manufaa ya maisha yetu
  9. Mundele Makusu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tukusimulie au tukusaidieje... Ila tumia browser kuingilia JF instead of app
  10. Mundele Makusu

    Msaada: Nimepoteza karatasi ya TIN

    Twende pamoja vuta picha imeibiwa au limetokea janga lolote la ghafla kama moto,mvua kubwa apooo utamlalamiliaje mtu Ndoo mana nasisitiza Jenga dhana chanya zaidi ukitaka kuchangia hoja
  11. Mundele Makusu

    Tom Cruise VS Ryan Reynolds, Nani Utampa Tag ya "MKALI WA ACTION"

    Tom Cruise kwakuwa nimemchek Sana
  12. Mundele Makusu

    App au website ya kudownload hd movies

    Movie box app Netflix app Izi unaingilia browser yoyote kama Mozilla Firefox, chrome,brave n.k Netnaija Nkiri.com
  13. Mundele Makusu

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    That's your view....Kuna jambo hujaangalia hapa Mzize katoka mtaani huko iringa Moja kwa Moja Yanga senior team, msimu ulofata first team Huyu mchezaji ni mzuri sema anatakiwa ajengwe zaidi kisaikolojia ana vitu kamzidi kibu
  14. Mundele Makusu

    Msaada: Nimepoteza karatasi ya TIN

    Thamani huoni ....mtu kaanzisha Uzi,kafikiria na katumia bando Kakoswa kusema karatasi tu unaomponda...Tujitahidi kufikiri chanya apo unamrekebisha tu tunapita hivi
  15. Mundele Makusu

    Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

    Elimu ni muhimu maishani..Pia kingine Tambua Kila mtu ana njia yake ya kutoboa usilinganishe matajiri hao wachache ambao hawakufika mbali kielimu . Kuna jambo amegusia hapo anapenda watoto wake wafike mbali kielimu bado anapenda kujifunza manake vitabu,majarida n.k wanapitia Sana watu wa...
  16. Mundele Makusu

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Katika maisha kila mtu ana namna yake ya kuishi hivo usilazimishe mtazamo wako uzingatiwe na Kila mtu (Usiforce tufanane). Ikiwa wanayofanya Yana manufaa waache tu Kama sivyo wataona tu njia sahihi ya kuacha (Mazingira tu yatawafanya wabadilike)
Back
Top Bottom