Search results

  1. highland

    Serikali ya Peru yapitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia wana Ugonjwa wa Akili

    Waandamanaji 500 kulinganisha na watu wote nchini Peru ambao ni 34M, naona kabisa hili tamko limeungwa mkono
  2. highland

    Rais wa Burkina Faso akopa Tractors 400 ili nchi yake iwe na Maendeleo Mazuri

    Angeanzisha kiwanda hata cha kuunganisha angekua amefanya kitu cha maana sana. Ila nampongeza huyu poti
  3. highland

    Za kuambiwa, tuchanganye na zetu

    Nashauri usioe hata mke mmoja. KATAA NDOA.
  4. highland

    Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

    Kabisa mkuu. Na akitoboa na yeye lazima alipize kukunyanyasa🤣
  5. highland

    Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

    Nakubali hii pia inaweza kua sababu, ila ni mara chache sana hutokea. Yaani from no where mtu umemtoa chini, ukampigania hadi akatoboa then akageuka kua adui baada ya kutoboa bila sababu yoyote? Hapana. Tujirekebishe kidogo tusiwalaumu saaaana tuliowasaidia, tuangalie na matendo yetu yalikuaje...
  6. highland

    Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

    Hakika mkuu, kama unataka kumsaidia mtu hakikisha unafanya hivyo kwa upendo, otherwise usisaidie mtu.
  7. highland

    Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

    Ukiwa unataka kumsaidia mtu hakikisha humnyanyasi wala humtesi katika mchakato wa kumsaidia. Mara nyingi kugeukwa au kuzungukwa na uliemsaidia sababu hua ni kisasi.
  8. highland

    Maisha tuko safarini na tuko ndani ya historia nani anabisha ?

    Karibu sana new member, next time ukiweka Uzi andika kidogo
  9. highland

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Mkuu goba unapata self. Ingia TikTok search dalali goba utawapata na vyumba utaviona
  10. highland

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Sioni kosa kuuuuubwa sana la DED. Hawa watoto wenyewe hii michezo wanaipenda, na hata sheria ya ndoa inaruhusu kwa umri wake. Kinachoonekana hapa kikubwa ni changamoto ndani ya ndoa ya DED, so mke wake ameona hii ni kama escape plan ya kuachana na mwamba achukue 50% yake.
  11. highland

    Kula vyuma hivyo usherekee sikukuu vizuri

    Tigo wamenipa 5GB. Watakata 2000 Tigopesa
  12. highland

    26 Out of 27 Startups Fail. Learn Nike's Secrets and Beat the Odds

    The motivation as usual. By the way nakubaliana na point zote katka thread.
  13. highland

    Mambo gani husababisha mtafaruko wa Mapenzi?

    1. Hela 2. Hela 3. Hela
  14. highland

    Nahitaji kadi maalum VVIP ya kataa ndoa, nimechoka

    Pole sana mkuu, ila mkeo mwanasheria? Maana anapenda sana kukimbilia mahakamani.
  15. highland

    Mawakala wa mauzo Dar es salaam

    Wanauza nini?
Back
Top Bottom