Search results

  1. juma sal

    Songombingo ya uke wa fisi

    Kuna mengi yakustajabisha na kushangaza kuhusu wanyama, hasa tabia, hulka, mionekano hata mienendo yao. Kuna ambao wanaguswa na kuwapenda simba kunakutokana na muonekano na tabia za simba, wapo wanauguswa na mamba, tembo, nyati, faru, nyoka, lakini binafsi naguswa mno na fisi madoa (spotted...
  2. juma sal

    Kwanini Kisiwa cha Mafia sio sehemu ya Zanzibar?

    Hili ndio swali ambalo wengi hasa Watanzani huliliza mara kwa mara na ni swali ambalo popote ukijitambulisha kama mwenyeji wa Mafia basi aghalabu kwa mtu aliewahi kukifahamu kisiwa hiki kwa kusikia atakuuliza swali la msisitizo zaidi, Mafia si ya huko Zanzibar? Wengi hawafahamu kua Kisiwa cha...
  3. juma sal

    Ajabu ya kisiwa cha Mafia: Ujue mji usiojulikana uliozama baharini kisiwani Mafia

    Awali ya yote naomba nikuhakikishie ndugu msomaji kua hii sio hadithi ya kusadikika au tuseme ni stori ya kutunga, hii ni habari ya kweli tena ukweli mtupu unayoelezea habari USIOJULIKANA na iliyojificha kwa miaka mingi na kwa watu wengi sana. Kutojulikana kwa jambo kunatokana na tatizo kubwa...
  4. juma sal

    Utawezaje hili?

    Imagine una mwanamke ambae kwadhati unampenda na ushamueleza kua unampenda (lakini dini ni tofauti yeye mkiristo mimi ni muislam).......HAYUKO TAYARI KUBADILISHA DINI, NAMI SIKO TAYARI KUBADILISHA....... lakini mimi nipo tayari kwenda serikalini kula kiapo cha ndoa.....anashindwa kunikubali kwa...
  5. juma sal

    Tafakari ya Mwanakijiji leo...

    Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari
  6. juma sal

    Inakuhusu sana uwe kwenye ndoa au unaelekea, soma

    Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote. "Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyesha...
  7. juma sal

    Constructive ideas zinahitajika hapa!!!!!!!!

    Habari zenu wana-jf wababa,wamama,wakaka,wadada, rika langu na wengineo pia Hili ni suala la ukweli hivyo basi uliyesoma hii thread naomba unipe mawazo yako ili nifanye maamuzi ya mbolea na yenye tija kwangu....na hii thread sio sehemu ya utani na masihara. mm ni kijana mwenye umri kati ya miaka...
  8. juma sal

    Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke?

    Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke? mana simuelewielewi some time namfikiria kama mdada na namtamani nipate nae kamda hivi ili kama ikiwezekana na akikubali nikale nae GUDTYM. Na ninapowaza hivi hufikiria ku-pm lakini huwa nasita ila nikisomaga post zake nyingine nyingine lol, kichwani...
  9. juma sal

    KICHWA KINAUMA JAMANI.....naomba msaada!!!! si utani hata kidogo.

    Jaman sitanii ktk hili tafadhili kama unauelewa naomba ushauri wako...kama hujui pita zako tu Nilikua na girl friend wangu miongoni mwa form six waliomaliza mwezi wa pili mwaka huu ktk shule flani hivi ya serikali.Tulikua mawasiliano kwa muda mrefu hivi mpaka ikafikia hatua nikatupa nyavu zangu...
Back
Top Bottom