Search results

  1. M

    Kuna mwenye wazo la kibiashara la mabaki kama mifupa, ngozi na vichwa vya samaki?

    Habari wa jf Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku. Naomba mwenye uzoefu au kujua soko au fursa na kitu cha kufanya kupitia mabaki ya samaki.
  2. M

    Mwenza Kanda ya Ziwa Mwanza

    Nahitaj mwanamke yeyote umri sichagui lakin usiwe mnene, kwa ajili ya kuridhishana kimapenz tuu, tutasaidiana panapowezekana. Sihitaj mahusiano ni pale tunapohitajiana tuwasiliane tofaut na hapo tusiwasiliane. Pm iko waz
  3. M

    Nakodisha Ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi

    Habari ya muda huu, Nakodisha ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi, pia nafanya usafirishaji wa miili ya marehemu toka sehem moja kwenda nyingine. Napatikana Dar es Salaam Kwa maelezo zaidi piga 0623900700
  4. M

    Natafuta pikipiki ya mkataba wa miezi sita

    Habari ya muda huu, matumaini yangu nyote ni wazima. Binafsi namshukuru mungu ni mzima wa afya. Lengo kuu la uzi huu ni nahitaji mtu mwenye pikipiki au mwenye uwezo wa kununua pikipiki tufanye biashara kwa mkataba usiozidi miezi sita niwe nimerudisha pesa ya pikipiki na faida kidogo. Binafsi...
Back
Top Bottom