Search results

  1. Master Arcade

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    Asante umeelezea vyema...ila si vizuri kumshambulia mtu bali shambulia hoja na utoe shule.
  2. Master Arcade

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    Ndugu samahani lakini, kwani wewe ni mtu wa fani gani? kati ya hizo ulizotaja ulikuwa unawatrain interns? au zote?
  3. Master Arcade

    Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Mam Ndugu mambo yapo mengi tu duniani yanayoamiwa na watu bila ya ushahidi wa kutosha...usionee Quraan tu, hata uwepo wa mungu tu hauna ushahidi wa kutosha lakin still unaamini yupo..
  4. Master Arcade

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Dkt ..ukiwa na maana ya Medical doctor au Phd?
  5. Master Arcade

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kwa kutumia kigezo gani...mpka una amini sule ana elimu kubwa kuzidi mimi?
  6. Master Arcade

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    okey nimekuelewa mkuu...
  7. Master Arcade

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kama utata kila imani upo na watu wake kwa baadhi ya mambo hupingana kabisa..
  8. Master Arcade

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Thinking is dificult that is why most people judge..
  9. Master Arcade

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    kwa hiyo unaihukumu dini mzima kwa ajili ya sule...sio?
  10. Master Arcade

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Kwani mimi ndo nimesema apewe highest bidder?
  11. Master Arcade

    Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    Pengine yupo busy na kutafuta njia ya kurahisisha huduma na maisha ya wananchi wake...
  12. Master Arcade

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Kama hutaki mfumo wa kumpa kazi lowest bidder ..Je unataka mfumo gani utumike?
  13. Master Arcade

    Mtanganyika anayempinga Lissu kwenye hoja za muungano ana matatizo

    We kwani ulitaka muungano uweje ili Tanganyika isimezwe...?
  14. Master Arcade

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Timu mnaleta ninyi katika mazingira ya kawaida watu kutofautiana tamaduni, mitazamo, dini, idikadi za kisiasa na mengineyo ..ni kawaida sana hivyo kama unaona hapafanani na wewe ondoka tu au jaribu kuwa na tolerance na utaratibu wa eneo husika..
Back
Top Bottom