Unafahamu ni Chopa ya aina gani inayoenda kurushwa au una andika kufurahisha umma?
Chopa inayoendwa kurushwa ni AIRBUS H225M Super Cougar. Imekuwa designed kwa mission zenye uhitaji haswa, ni highly sophisticated military asset. Hii Chopa siyo sawa na vile vichopa vya kwenye kampeni za...
Huu ndio mwezi ambao waume zenu wanaruhusiwa kufanya haya kama Mudi alivyo kuwa anafanya?
Hadithi 298 Anasimulia Aisha Mke wa Mtume
Mimi na Mtume tulikuwa tunaoga katika chungu kimoja tukiwa junub. Wakati wa hedhi, alikuwa akiniamuru nivae izar na alikuwa akinipapasa.
Nikiwa itikafu alikuwa...
Ukitaka kupata mtiririko ulio nyooka, ungechukua mahojiano yote toka pale Kibatala alipokuwa anajenga msingi wa swali lake.
Kwenye sheria hawadokoi hoja moja na kuisimamia kidete kama unavyotaka iwe hapa.
Kuna Mwingine tupo hapa Sinza Mapambano jirani kabisa na Yard ya Mwanamboka, Mrefu Mweupe anakusanya Rushwa kama katumwa yaani. Hivi ninavyo andika katoka pokea rushwa ya 5000 kwa Kondakta wa Daladala ya Makumbusho Posta via Shekilango.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.