Search results

  1. mtotofisi

    Enzi za Shy bush (Shinyanga technical school)

    Umenikumbusha mbali sana.Nilikuwa miongoni mwa wahanga, tulifukuzwa shule na kulazimika kukaa miezi3 nyumbani
  2. mtotofisi

    Hodi, naomba mnipokee

    Habari JamiiForums, Mimi ni mgeni, naomba kupokelewa humu.
  3. mtotofisi

    Hatimaye Dayosisi mpya ya Mlali yaanzishwa

    Mgogoro uliodumu takribani miezi mitatu umesababisha waumini wa kanisa Anglikana kutoka dayosisi ya mpwapwa wa makanisa ya Mlali, iduo,chiwe, nghumbi, ihanda na moleti kupelekea kuanzishwa Leo tarehe 10 Desemba 2023 ikijulikana Dayosisi ya Mlali ikiongozwa na Askofu ELIBARIKI KUTTA Kiini cha...
  4. mtotofisi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boss mbona zimeshuka zimebaki odds 156
  5. mtotofisi

    Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    crdb wamemkana Emanuel, my classmet pale bush sek , mwamba alikuwa ni mkimya hata hawez kuongea na mtu. Alishapata ujanja wa kuongea hadi kutukana. Usiombe likukute. Hii familia inahitaji faraja siyo wakat wa kushangilia matatizo ya mtu. Kuna Leo kwake kesho kwako
  6. mtotofisi

    Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Kweli mkuu inahtajika nguvu kubwa Sana kukaa sawa
  7. mtotofisi

    Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Boss hatususii timu yetu . Simba ni dude kubwa Sana ndomana waliobahatisha kutufunga magoli 5 wanafanya sherehe mwaka mzima
  8. mtotofisi

    Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Tiketi zinaendelea kuisha wewe chelewa tu
  9. mtotofisi

    Tiketi haziuziki mechi ya Simba

    Mbona kama unaumia Sana ,, Wenye Simba yetu hatujasusia timu. Sisi siyo mashabiki maandazi eti tushindwe kusapoti timu Kwa kufungwa na utopolo Tena Kwa ulozi wao. Tunaendelea kununua ticket nenda kwenye vituo kashuhudie acha kupiga ramli za jangwani. Tumeanza SOLD OUT ya kwanza
Back
Top Bottom