Search results

  1. Mtu-Pori

    Rohingya: Jamii "Inayokataliwa" na Dunia

    Hii jamii ya watu wa Rohingya inapatikana kwenye nchi ya Burma/Myanmar. Watu wengi wa jamii hii ni wa dini ya kiislamu, huku waliobaki toka jamii nyingine wa dini ya Buddha. Huko nchini Burma kumekuwa na mapigano ya mara kwa kati ya watu wenye dini hizo mbili tofauti, wengine wanachinjwa...
  2. Mtu-Pori

    Je, hili ni tatizo la hardware? Ushauri unahitajika.

    Wiki 2 zilizopita nilichomoa flash drive toka kwenye laptop kabla sija-disconnect application, laptop ikazimika ghafla. Nilijaribu kuiwasha kama mara 5-6, ilikuwa inawaka na kuzimika baada ya sekunde kadhaa. Baada ya kuhangaika kama dakika 10 ilikubali kuwaka na files zilikuwa ok, ila...
  3. Mtu-Pori

    HTC One imetajwa kuwa ni simu bora ya mwaka 2013

    Katika maonesho ya vifaa vya mawasiliano ya mkononi hasa feature phones, smartphones na tablets yanayoendelea huko Barcelona, Global Mobile Awards ambayo huandaliwa na The GSM Association wameitaja HTC One kuwa ni the best smartphone in the past year Phone. Mchakato wa kuamua ipi ni simu bora...
  4. Mtu-Pori

    Msiwanyime wake zenu unyumba

    Wiki kadhaa zilizopita baada ya Arsenal kupigwa na Chelsea, akina dada walilalamika kuwa waume zao hutoka na stress za mpira hadi nyumbani, halafu wanawanyima........kuna hatihati leo wakanyimwa pia. Tukumbushane tu jamani, ya mpira yabaki mpirani. Wapeni haki yao.
  5. Mtu-Pori

    Wajanja Night is back

    Nimejaribu asubuhi hii kujiunga na ikakubali. Mabadiliko ni kuingezeka kwa gharama toka sh 200/- hadi sh 500/- lakini muda wa matumizi ni uleule. Kwakuwa ninatoka kwenda kwenye mihangaiko, sijaitumia na kupima speed kama ni ile ile au wameibana.
Back
Top Bottom