Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa .
Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni
Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila, kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini.
Asante Sana.
Huyu mnamwita shujaa alikuwa ni akili ndogo na yeye na alikuwa hayupo logical
Huwezi kuruhusu watu wenye akili ndogo wapite bila kupingwa
MTU Kama huyu anaingiaje bungeni!!! Then unajiita mtetezi wa wanyonge.
Mshahara wa mbunge ni mil 18
Posho ya kikao kimoja ni laki sita
Kiinua mgongo sasahivi kitasoma kuanzia mil 300.
So , MTU aliyepo kwenye shibe na akakosa hekima anaweza kujisahau na kunena upumbavu.
Tanzania tuna uhaba wa watu wenye Akili na ambao wapo logically I guess hii ni kwa sababu sisi wenye akili kubwa hatutaki Siasa na vilaza kukimbilia siasa.
Huyu Mbunge anauliza eti kwanini serikali isitoe nusu degree? Then anajiita mwakilishi wa wananchi. Kid
Wahaya hupatikana Bukoba mjini na Bukoba vijijini.
Sasa hao wanaojiuza wanatoka Bukoba ipi?
Mureba hupatikana wanyayangiro ambao hujiuza na sio wahaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.