Search results

  1. kalisheshe

    Nakaribia 29 sina mtoto

    Utajumiza kwa stress mkuu Maisha ni zaidi ya tunavoyafikiria na kila kitu kimepangwa tokea unazaliwa.
  2. kalisheshe

    Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

    Kuna Napoleon Bonaparte Na Shaka Zulu, huyu ni mwafrika ila Dunia inamtambua
  3. kalisheshe

    Natafuta mwalimu wa martial art

    Nitakuelekeza jinsi ya kujifunza mwenyewe
  4. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Andrada na effrakata zinachosha ila loi ni moto Unaiweza kuisikiliza asubuhi mpaka jioni.
  5. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Hii ninayo ila haiifikii loi
  6. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Haha Huwa nairudia sana
  7. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Ultimatum imezidiwa hata na force de frappe
  8. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Ferre gola ana nyimbo nzuri ila hamfikii hata kidogo huyu legend
  9. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
  10. kalisheshe

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Kiukweli Diamond platnumz amefanikiwa kulifanya soko la muziki limtii
  11. kalisheshe

    Kulwa na Dotto in English Language is?

    Twin brothers au twin sisters Kama ni wa kike na kiume tufanye anaitwa X Sema ni X and his twin brother Au X and his twin sister Umemaliza
  12. kalisheshe

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Kuna wachezaji wanaondoka mwisho wa msimu akiwemo saidoo
  13. kalisheshe

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Ushauri huo apo kazi kwao
  14. kalisheshe

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe. Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa...
  15. kalisheshe

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Great Britain na united kingdom ni kitu kimoja Utofauti ni majina tu na inategemea unalitumia ukiwa wapi Mfano ni jamhuri ya muungano wa Tanzania na Tanzania
  16. kalisheshe

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Kwa sasa mkuu wake ni mfalme charles III
Back
Top Bottom