Search results

  1. mwehu ndama

    Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Mods kwanin mnaedit uzi wangu? Nimemuita mgunda tapeli katika kichwa cha habari , na napenda afahamike kama tapeli!
  2. mwehu ndama

    Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Mbumbumbu Wao wanadai ankoli juma matunguli mgunda ni Gudiola wa bei rahisi 😁
  3. mwehu ndama

    Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Mgunda hakuna kocha mule, zaidi ya kubeba hirizi na kuloga wazungu
  4. mwehu ndama

    Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
  5. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Inasikitisha kuona wabongo wanamsifia mkongo asiejua kitu
  6. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Jamaa kaandika kama mlevi wa matapu tapu
  7. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Kibu Denis anamvuto gani wa kibiashara? Au unamaanisha anawauzia kina Mangungu dawa za mvuto toka congo? Mtu hana hata ubalozi wa chupi za karatasi, ebu toa pumba zako hapa..mbuzi mmoja wewe
  8. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Ni kweli na kitu kinachompa mchezaji bargain power wakati wa usajili ni takwimu zake kiwanjani.. Na mpaka sasa takwimu za kibu Denis niza hovyo, kwa pesa hiyo simba sc wanaweza pata mchezaji productive mzuri kuliko kibu, over!
  9. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Hii ni football mzee, takwimu ndio kila kitu, hakuna huruma
  10. mwehu ndama

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc! Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15...
  11. mwehu ndama

    Kibu Denis Kuikamua Simba Milioni 760

    Huyu ni mkongo
  12. mwehu ndama

    Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  13. mwehu ndama

    Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

    Kwani akandwanao aliyewatungua makolo kwenye mapinduzi cup yupo?
  14. mwehu ndama

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Nimetokea kukupenda, siwezi kuishi bila wewe, nakuhitaji😭
  15. mwehu ndama

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Mijitu ya hovyo sanaa, na ndio yanaongoza kwa kufia kwenye vinena vya mabinti
  16. mwehu ndama

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Kanyaga shingo bado linapumua hilo
  17. mwehu ndama

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Ukiona unaamkiwa shikamoo na mabinti jua unaenda club kufedheheka, au ukiona unaanza kuitwa mjomba badala ya bro, jua umeaga mashindano
Back
Top Bottom