Search results

  1. OLS

    Kuna kero za muungano au muungano ni kero?

    Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
  2. OLS

    Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  3. OLS

    Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

    Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24 Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
  4. OLS

    Akili za kibiashara kwa Watanzania ni za kutafuta, ndio sababu tuna Watanzania wachache matajiri

    Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi. Agha...
  5. OLS

    Watanzania hawapendi maandamano au hawajui haki zao?

    Achana na maandamano ya CHADEMA, miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na maandamano ya wamachinga. Mtu mmoja ambaye alitajwa kuwa msemaji wa wamachinga alirekodiwa akiwataka watu wengine wasiandamane kwa kuwa wakivunjwa miguu watakaoathirika ni wao na sio walioandaa maandamano. Nilipoona video ile...
  6. OLS

    Watoto wafundishwe uraia, au tuendelee kutumia fedha vibaya kwenye uchaguzi na Katiba mpya

    Matokeo ya kidato cha nne yameacha kujadiliwa, kama kawaida waandishi wameripoti bila kwenda kiundani zaidi kusema matokeo haya yana maanisha nini kwa jamii. Hata hivyo kuna mtu ndani ya JF alienda mbali kufananisha ufaulu wa hisabati na Urai na aliangalia pia fedha zinazowekwa kwenye hisabati...
  7. OLS

    Ni muhimu kuwa na ukomo wa umri wa mtu kuwa Rais Tanzania

    Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki madarakani. Hii sio shida lakini ni muhimu ukomo wa umri uwepo ili kutokuwa na marais wazee ambao...
  8. OLS

    Nimeenda supermarkets kadhaa wanasema hawana sukari

    Nilinunua sukari nyingi ya kunitosha mwaka mzima (Kwa kuwa naishi mwenyewe ni rahisi). Baada ya kuja suala la kudhibiti bei ya sukari, nadhani wafanyabiashara wako katika mgomo fulani. Jana nimeenda supermarket wamenambia hawana sukari. Nadhani badala ya kudhibiti bei kuna namna sahihi zaidi ya...
  9. OLS

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba hiyo. Hata hivyo katika kutumia lipa namba, kuna gharama ambayo mteja anakatwa, lakini gharama...
  10. OLS

    DOKEZO Haya mashimo barabarani tunataka yachimbuke futi ngapi ili kuyaziba

    Mvua zimeleta majanga na kuacha majanga. Lakini Mvua zisingekuwa na maafa makubwa kama tungekuwa na mifumo mizuri ya maji taka. Kwa kuwa na mifumo mibovu maji yamejitengenezea njia zake na kuharibu miundombinu mingine. Barabara nyingi sana haziko katika hali nzuri na zinaweza kuharibu magari...
  11. OLS

    60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna mazao mengi yanayoweza kustawi Afrika na kuondoa magonjwa ya lishe

    Katika bara la Afrika, nchi zimekuwa tegemezi kwa mazao machache ya chakula. Sasa hivi, spishi 20 za mimea zinatoa asilimia 90 ya chakula chetu, na tatu kati ya hizo – ngano, mahindi, na mpunga – zinaleta asilimia 60 ya kalori zote zinazotumiwa kwenye bara hili na duniani kote. Hii inaondoa...
  12. OLS

    Je, uundaji na mabadiliko ya sheria yanatija kwa Raia kwa kiasi gani?

    Historia ya utungaji na upitishaji sheria nchini Tanzania, kwa mujibu wa tovuti ya bunge ni kuanzia mwaka 1963. Miaka miwili baada ya kupata uhuru, mwaka 1963 tukaunda sheria 246, hizi ndio idadi kubwa ya sheria kuwahi kupitishwa katika historia ya Tanzania. Aidha baada ya mwaka huo mwaka...
  13. OLS

    Teuzi ya Maxence Melo, ina maana gani kwa JF na wanachama wake?

    Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums ameteuliwa kuwa mmjoa wa wajumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa muda wa miaka mitatu. Suala hili limezuia mijadala hata kwa wanachama wa JamiiForums wakidhani uhuru wao utakuwa umeminywa. Unayopaswa kujua Bodi inayoundwa ni kwa...
  14. OLS

    Rwanda yaidhinisha muswada wa kusimamia GMOs

    Bunge la Rwanda limeidhinisha muswada unaosimamia usalama wa maumbile, lengo likiwa kushughulikia hatari inayoweza kutokea kwa GMOs ili kulinda bioanuwai na kuhifadhi wa mazingira. Viumbe vilivyobadilishwa maumbile(GMO), kama vile mazao, ni vile vilivyobadilishwa kwa kuongeza jeni kutoka kwa...
  15. OLS

    Je, kifungu kinacho-criminalize Ponzi Schemes kinatumika au ni gaka tu?

    Kifungu cha 171A cha Kanuni za Adhabu kimejinaisha Ponzi Schemes na Pyramid schemes ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikiwaingiza mamilioni ya watanzania katika kilio. Kulikuwa na DECI, Kalynda, ambazo zilikuwa Ponzi Scheme, hata hivyo kwa Pyramid Schemes zimekuwa nyingi huku wengine wakitumia...
  16. OLS

    Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  17. OLS

    Tunatumia vigezo gani kuunda majimbo?

    Kwa takwimu nilizonazo ni kuwa Tanzania ina majimbo 264 ambapo ni Wabunge 264 bila kujumuisha Wabunge wa Viti Maalumu na Wabunge wa kuteuliwa na Rais. Katika majimbo hayo, jimbo lenye watu wengi ni Jimbo la Ukonga lililoko Dar, ambalo kwa mujibu wa Sensa ya 2022 lina watu 921,857 na jimbo lenye...
  18. OLS

    Nani anawalipa Influencers kwenye matukio ya Kiserikali

    Kwa sasa naona tumekumbwa na wimbi kubwa la Influencers kutumika katika masuala ya kiserikali. Mathalani hivi karibuni, ndugu Mwijaku alikuwa na deal ya utalii na kukawa na shida ya nani anamlipa, serikali kuitia bodi ya utalii au namna gani. Hata hivyo, hii sio tukio la kwanza watu wengi...
  19. OLS

    Utafiti: JamiiForums inaaminika sana. Watu huwa huru kutoa maoni hata kukiwa na sheria kandamizi

    Utafiti uliofanywa kwa ushirikiano wa Sabancı University, Nukta Africa, Utah State University na University of Pennsylvania. Umebaini kuwa mbali na uwepo wa sheria kandamizi watanzania huendelea kutoa Mawazo yao kwa uhuru ndani ya JamiiForums. Utafiti huu uliofanywa na Fatih Serkant Adiguzel...
  20. OLS

    Mwaka 2023, matukio 80 ya kuzuia internet yamerekodiwa katika nchi 21 duniani

    Katika muongo uliopita, serikali barani la Afrika zimeendelea kushika madaraka kwa nguvu kwa kudhibiti haki za binadamu mtandaoni na nje ya mtandao. Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora, watu katika nchi kadhaa wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii ambayo yamekuwa...
Back
Top Bottom